Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Amani Benson

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
658
Reaction score
1,502
Habari ya muda huu wakuu,

Nina changamoto nazipitia. Changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja.

Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini.

_20240728_133646.JPG
 
hao michepuko wasio na mimba achana nao

huyo wa kuumwa muongo tu muache afe

baki na mke, na huyo mwenye mimba, tafuta jinsi ya kubalance hapo
Mkuu pengine ushauri waki ni wa msingi hiyo michepuko wananisapoti sana katika harakati zangu napokuwa nakwama thus nimekuja kuomba ushauri fikiria una shida katika familia yako mkeo anawaza utatatua vipi lakini kwa ujanja wako unawachek watu wako ambao mkeo hajui lolote kuhusu hao wanakusapoti unamaliza ila we unajua alikusaidia kutatua ni mchepuko hebu niambie unaanzaje kumuacha, then huyu mwenye mimba ni kama kafanya kunikomoa muda wote yeye analala tu na maneno mengi ya kusema eti ooh mimi ndo mkeo wa pili basi ni balaa tupu...
 
kabla ya muchepuko uliishije
 
Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Fanya hivi mdogo wangu hao michepuko achana nao mshungulikie mke wako na mwenye mimba akisha jifungua mwambie mkeo na mapema usije uka katiza ndoa yako.
 
Kamba,zile nzuri za manila,huko kwenu wanauza shilingi ngapi?Kuna mti wowote jirani hapo uliotulia na kukaa mtindo wa v(kipago)?Hang yourself!
 
Fanya hivi mdogo wangu hao michepuko achana nao mshungulikie mke wako na mwenye mimba akisha jifungua mwambie mkeo na mapema usije uka katiza ndoa yako.
Mkuu nashukuru kwa huu ushauri jambo moja ambalo sipendi litokee ni kuachana na mje wangu mana kwao wananitazama kama kaka mkubwa
 
Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
kuwa na idadi kubwa ya wanawake wakati kipato chako hakifiki hata milion 3 kwa mwezi ni kujitafutia umasikini
 
Mkuu kama jana pia kuna matumizi ambayo hayakuwa nalazima ila nikajikuta nimegalamika usiku ulipo ufika nikaenda kupiga bia zinipe speed ya kulala nako kwene bia nikpata stress tena sasa kila nikitazama future yangu naona kabisa hapa nazingua.
 
Back
Top Bottom