Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Habari ya muda huu wakuu,
Nina changamoto nazipitia. Changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja.
Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini.