Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Inasikitisha sana mkuuSijakuelewa mzee
Mkuu pengine ushauri waki ni wa msingi hiyo michepuko wananisapoti sana katika harakati zangu napokuwa nakwama thus nimekuja kuomba ushauri fikiria una shida katika familia yako mkeo anawaza utatatua vipi lakini kwa ujanja wako unawachek watu wako ambao mkeo hajui lolote kuhusu hao wanakusapoti unamaliza ila we unajua alikusaidia kutatua ni mchepuko hebu niambie unaanzaje kumuacha, then huyu mwenye mimba ni kama kafanya kunikomoa muda wote yeye analala tu na maneno mengi ya kusema eti ooh mimi ndo mkeo wa pili basi ni balaa tupu...hao michepuko wasio na mimba achana nao
huyo wa kuumwa muongo tu muache afe
baki na mke, na huyo mwenye mimba, tafuta jinsi ya kubalance hapo
Thus nimekuja kupata ushauri humu pengine inaweza saidiaInasikitisha sana mkuu
kabla ya muchepuko uliishijeMkuu pengine ushauri waki ni wa msingi hiyo michepuko wananisapoti sana katika harakati zangu napokuwa nakwama thus nimekuja kuomba ushauri fikiria una shida katika familia yako mkeo anawaza utatatua vipi lakini kwa ujanja wako unawachek watu wako ambao mkeo hajui lolote kuhusu hao wanakusapoti unamaliza ila we unajua alikusaidia kutatua ni mchepuko hebu niambie unaanzaje kumuacha, then huyu mwenye mimba ni kama kafanya kunikomoa muda wote yeye analala tu na maneno mengi ya kusema eti ooh mimi ndo mkeo wa pili basi ni balaa tupu...
How can i manage this situation?Tulia na mchepuko..mke mfukuze
Fanya hivi mdogo wangu hao michepuko achana nao mshungulikie mke wako na mwenye mimba akisha jifungua mwambie mkeo na mapema usije uka katiza ndoa yako.Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Kamba,zile nzuri za manila,huko kwenu wanauza shilingi ngapi?Kuna mti wowote jirani hapo uliotulia na kukaa mtindo wa v(kipago)?Hang yourself!Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Kabla nilikua kawaida ila tu nina katabia ka lover boy mzee hizi girls/women nakua nazo na upendo kinoma kama jana nimekaa napiga zangu bia ghafla kuna manzi akaja kumchek ni manzi niliwahi kuwa nae zamani basi akaanza kulia pale aisee na maneno mengi makalikabla ya muchepuko uliishije
Mkuu nashukuru kwa huu ushauri jambo moja ambalo sipendi litokee ni kuachana na mje wangu mana kwao wananitazama kama kaka mkubwaFanya hivi mdogo wangu hao michepuko achana nao mshungulikie mke wako na mwenye mimba akisha jifungua mwambie mkeo na mapema usije uka katiza ndoa yako.
kuwa na idadi kubwa ya wanawake wakati kipato chako hakifiki hata milion 3 kwa mwezi ni kujitafutia umasikiniHabari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Mkuu yani nijinyonge siwezi kufanya hio kituKamba,zile nzuri za manila,huko kwenu wanauza shilingi ngapi?Kuna mti wowote jirani hapo uliotulia na kukaa mtindo wa v(kipago)?Hang yourself!
Mkuu haya maisha yana mambo mengi kweli kweli kuwa serious sana nako ni tatizo kuwa mvivu nako ni tatizoDaaah yaani kwa hali hii kila mada naweza ona za kijinga jinga kumbe ni vile life ina ni bonda tuu......
Sina neno ila jamni saidia fundi sio kazi ni mateso wakuu
Mkuu kama jana pia kuna matumizi ambayo hayakuwa nalazima ila nikajikuta nimegalamika usiku ulipo ufika nikaenda kupiga bia zinipe speed ya kulala nako kwene bia nikpata stress tena sasa kila nikitazama future yangu naona kabisa hapa nazingua.kuwa na idadi kubwa ya wanawake wakati kipato chako hakifiki hata milion 3 kwa mwezi ni kujitafutia umasikini
Mkuu unamjua zuchuMkuu haya maisha yana mambo mengi kweli kweli kuwa serious sana nako ni tatizo kuwa mvivu nako ni tatizo