Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Mkuu umenena kwa maana sana,, sasa point ni kwamba nahitaji kutulia ila wife game ananipaga kwa mashariti kweli kweli thus nakua na high panic mpak kutafuta huduma outside.
Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.
 



Endelea kuzihesabu siku zako.
 
Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.
Mkuu kwa namna moja ama nyngine naweza kutetea harakati zetu kuna wakati natoka katika utafutaji na hko nilipo toka yawezekana siku hiyo nilikumbana na changamoto kadhaa nikarudi home akili ilinipa faraja nikifika home ntatoa mawazo kwa kufurahia tendo na mke wangu sasa nafika nakuta wife nae ananibania mzee hata ungekua wewe kuna namna utaitafuta furaha nje ya hapo.
 
Baki na mke wa mtu,,Mng'ang'anie haswaa,,,hao vilaza wengine tupa kule,,huyo ndio ana upendo hadi kuumwa.,,yoyote anaekupenda kweli lazima aumwe ukimzingua
 
Tukimaliza mapambano ya Gen Z, Tuanzishe ya kupunguza wavulana kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…