Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Kwa vyumba vi3 utatumia tofali kama 3,500 - 4,000 hapo kila tofali ni tzs 1,000. Bado cement, mchanga n.k atleast endelea kujichanga uongeze pesaNina 5,500,000 Tu. Kiwanja ninacho.
Sitaki tena kulipa Kodi miee. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha Aina gani? Maisha is not fair
WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!?Kwa vyumba vi3 utatumia tofali kama 3,500 - 4,000 hapo kila tofali ni tzs 1,000. Bado cement, mchanga n.k atleast endelea kujichanga uongeze pesa
Binafsi nipo kwenye ujenzi na nimefikia hatua ya kupaua. Wakati naanza nilitaka msingi uendejuu kidogo kutokana na nature ya eneo na ulikula tofali 2,000 na wakati wa kupandisha ukuta hadi kwenye linta na kozi3 za juu nikatumia tofali 2,000 pia. Inategemea na aina ya nyumba yenye unataka.WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!? Wataalam wanasema chumba kimoja ni hadi tofali 400! Ongeza msingi, sijui na nini, sijui na nini, sijui na nini hufikii hayo matofali! Ngoja waje wenyewe.
Ushauri unaweza kutoka kwa yeyote hapa jukwaani kwa kuzingatia yafuatayo...Nina 5,500,000 Tu. Kiwanja ninacho.
Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule?
Acha uongo . Nina nyumba ya room 4 na sebule, jiko na stoo na nimetumia tofali 2700 kwa nyumba ya room tatu za kulala na sebule atatumia fofali 1200 hadi 1500 kwa kujenga. Msingi ajenge na maweKwa vyumba vi3 utatumia tofali kama 3,500 - 4,000 hapo kila tofali ni tzs 1,000. Bado cement, mchanga n.k atleast endelea kujichanga uongeze pesa
Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now.Acha uongo . Nina nyumba ya room 4 na sebule, jiko na stoo na nimetumia tofali 2700 kwa nyumba ya room tatu za kulala na sebule atatumia fofali 1200 hadi 1500 kwa kujenga. Msingi ajenge na mawe
Ya aina ya Banda,nyumba gani inaweza kujengwa kwa pesa hizo?Nina 5,500,000 Tu. Kiwanja ninacho.
Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani?
Maisha is not fair
Inafika vizuri sana.WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!? Wataalam wanasema chumba kimoja ni hadi tofali 400! Ongeza msingi, sijui na nini, sijui na nini, sijui na nini hufikii hayo matofali! Ngoja waje wenyewe.
Banda ni nyumba, mbona umekuwa hivyo.Ya aina ya Banda,nyumba gani inaweza kujengwa kwa pesa hizo?
Sasa mil.5.5 inaweza kujenga nyumba au Banda? Tatizo mnataka kudanganywa nakupewa matumaini kama wanawake wakati ukweli ndio huo..Banda ni nyumba, mbona umekuwa hivyo.
?
Wewe una ngapi kujifanya. Wacha kejeli na kubeza
Sina ubishi, anadai matumaini na siyo kubezwa pamoja na uwongo unaotaka kumwaminisha, mbona hivyo ww?Sasa mil.5.5 inaweza kujenga nyumba au Banda? Tatizo mnataka kudanganywa nakupewa matumaini kama wanawake wakati ukweli ndio huo..
Tuwekee hapa Nyumba ya mil.5.5
Mpe wewe matumaini ila mimi namwambia with naked truth kwamba hakuna Nyumba ya 5.5 zaidi ya Banda.M
Sina ubishi, anadai matumaini na siyo kubezwa pamoja na uwongo unaotaka kumwaminisha, mbona hivyo ww?
Mimi nataka kujenga taratibu maana Sina hela cash,
Nachoweza kupata Ni 500k cash kila mwezi kwa ajili ya hiyo nyumba,
Ntatumia muda gani? kujenga boma la yumba vinne, sebule, jiko, store na dining kuhusu kupaua na finishing ntatoboa mkeka.
ww kiboko! Haya .Mpe wewe matumaini ila mimi namwambia with naked truth kwamba hakuna Nyumba ya 5.5 zaidi ya Banda.