Msaada wa mawazo, nina 5,500,000 naweza kujenga nyumba ya aina gani?

Msaada wa mawazo, nina 5,500,000 naweza kujenga nyumba ya aina gani?

Nina 5,500,000 tu. Kiwanja ninacho.

Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule?

Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani?

Maisha is not fair
Mwagilia moyo kwanza, hebu upongeze moyo please, Duniani ni wapitaji achana na habari za kujenga njiani
 
WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!?

Wataalam wanasema chumba kimoja ni hadi tofali 400! Ongeza msingi, sijui na nini, sijui na nini, sijui na nini hufikii hayo matofali! Ngoja waje wenyewe.
yaani ni vyumba vitatu sio nyumba yenye vyumba vitatu
hapo ni tofali labda 1000
 
Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now.

Itategemea wapi anajenga, aina ya nyumba na size ya nyumba na msingi atatumia material gani ndio itadetermine kiasi cha tofali za kutumia.

Mleta mada kaomba ushauri kwa pesa yake atajenga nyumba ya aina gani.
vyumba vitatu chumba sebule chumba wew kama fund tofali zinahitajika ngapi
 
Back
Top Bottom