18 months.Mimi nataka kujenga taratibu maana Sina hela cash,
Nachoweza kupata Ni 500k cash kila mwezi kwa ajili ya hiyo nyumba,
Ntatumia muda gani? kujenga boma la vyumba vinne, sebule, jiko, store na dining kuhusu kupaua na finishing ntatoboa mkeka.
18 months ntakuwa nimetumia 9m tu ndo itoshe boma lote?18 months.
Sio kweliHii ndiyo njia nzuri ya kujenga kama ni mpambanaji!
Utajenga nyumba nzuri sana hata kama itakuchukua 2 years kama kila mwezi unaweka laki 5 kwenda kwenye nyumba!
Hao wanaokuambia ata vibanda sa zingine hawana18 months ntakuwa nimetumia 9m tu ndo itoshe boma lote?
Location sio town msingi mawe, tofari za choma kifupi vifaa vyote ambavyo sio vya dukani mfano mchanga, mawe, tofari bei Chee hela fundi na vibarua haijachangamka ila ukienda dukani ndo vitu vyote bei kubwa.
Nipe ukweli huo.Sio kweli
Boma?18 months ntakuwa nimetumia 9m tu ndo itoshe boma lote?
Location sio town msingi mawe, tofari za choma kifupi vifaa vyote ambavyo sio vya dukani mfano mchanga, mawe, tofari bei Chee hela fundi na vibarua haijachangamka ila ukienda dukani ndo vitu vyote bei kubwa.
Duuh hii naifanyia tafiti tunapgwa parefu sana , kumbe utopolo sio yanga tuAcha uongo . Nina nyumba ya room 4 na sebule, jiko na stoo na nimetumia tofali 2700 kwa nyumba ya room tatu za kulala na sebule atatumia fofali 1200 hadi 1500 kwa kujenga. Msingi ajenge na mawe
5.5 ni hela lakini ni kiwango kidogo sana kwa ujenzi wa nymba ya vymba vitatu. ningekushauri fanya yafuatayoNina 5,500,000 Tu. Kiwanja ninacho.
Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani?
Maisha is not fair
Thanks, Kuna bwana m1 kaniambia tofali 4,000 hazifiki.Mleta Mada husemi ni nyumba ya aina gani, ya tope, tofali za kuchoma, tofali za udongo au siment ?
km ni block na upo ndani ya Mipango Miji au Jiji yatarisha tofali 4000
kuna vyumba vitatu, karo na choo safi, vingine polepole nyumba ya mbele mpaka fence ni baadae
We unayoo?[emoji28][emoji28][emoji28]Naona umemjengea mlinzi kwanza [emoji23]
I like this 😉
Senteso ya mwisho hapo juu ndiyo KIGEZO MUHIMU.Binafsi nipo kwenye ujenzi na nimefikia hatua ya kupaua. Wakati naanza nilitaka msingi uendejuu kidogo kutokana na nature ya eneo na ulikula tofali 2,000 na wakati wa kupandisha ukuta hadi kwenye linta na kozi3 za juu nikatumia tofali 2,000 pia. Inategemea na aina ya nyumba yenye unataka.
Vipi na kwa hesabu gani? Hebu dadavua!Inafika vizuri sana.
Basi jamani mpeni USHAURI, acheni KUBISHANA, yeye ameomba ushauri, MPENI JAMANI!Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now. Itategemea wapi anajenga, aina ya nyumba na size ya nyumba na msingi atatumia material gani ndio itadetermine kiasi cha tofali za kutumia.
Mleta mada kaomba ushauri kwa pesa yake atajenga nyumba ya aina gani.