Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jun 21, 2022 #61 Wernery G Kapinga said: Nina 5,500,000 tu. Kiwanja ninacho. Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani? Maisha is not fair Click to expand... Mwagilia moyo kwanza, hebu upongeze moyo please, Duniani ni wapitaji achana na habari za kujenga njiani
Wernery G Kapinga said: Nina 5,500,000 tu. Kiwanja ninacho. Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani? Maisha is not fair Click to expand... Mwagilia moyo kwanza, hebu upongeze moyo please, Duniani ni wapitaji achana na habari za kujenga njiani
arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 112 Jun 21, 2022 #62 CHIEF MASALAKULANGWA said: WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!? Wataalam wanasema chumba kimoja ni hadi tofali 400! Ongeza msingi, sijui na nini, sijui na nini, sijui na nini hufikii hayo matofali! Ngoja waje wenyewe. Click to expand... yaani ni vyumba vitatu sio nyumba yenye vyumba vitatu hapo ni tofali labda 1000
CHIEF MASALAKULANGWA said: WHAT!? Tofali 3500 hadi 4000 kwa nyumba ya vyumba vitatu? What!? Wataalam wanasema chumba kimoja ni hadi tofali 400! Ongeza msingi, sijui na nini, sijui na nini, sijui na nini hufikii hayo matofali! Ngoja waje wenyewe. Click to expand... yaani ni vyumba vitatu sio nyumba yenye vyumba vitatu hapo ni tofali labda 1000
arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 112 Jun 21, 2022 #63 Albizo said: Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now. Itategemea wapi anajenga, aina ya nyumba na size ya nyumba na msingi atatumia material gani ndio itadetermine kiasi cha tofali za kutumia. Mleta mada kaomba ushauri kwa pesa yake atajenga nyumba ya aina gani. Click to expand... vyumba vitatu chumba sebule chumba wew kama fund tofali zinahitajika ngapi
Albizo said: Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now. Itategemea wapi anajenga, aina ya nyumba na size ya nyumba na msingi atatumia material gani ndio itadetermine kiasi cha tofali za kutumia. Mleta mada kaomba ushauri kwa pesa yake atajenga nyumba ya aina gani. Click to expand... vyumba vitatu chumba sebule chumba wew kama fund tofali zinahitajika ngapi