Msaada wa mkopo Tsh. 25,000

Msaada wa mkopo Tsh. 25,000

Wewe tu, lipa namba ni bora zaidi kama namba yako ina changamoto.
Usiibeti tu na ukiipata ufunge uzi, reputation yako ni mtaji
Asante sana mkuu naomba dakika tatu tu nitume lipa namba ya wakala
 
watu wanaokubeza sijui ni kutaka attention ama ni nn?

Unaweza tegemea mtu flani ndo atakusave kumcheki anakwambia sina! Huwezi lazimisha mtu akupe mpunga wake!

Nikutakie khery ufanikiwe kwenye hili ndg
 
Asanteni sana nyote kwa upendo. Pesa nilikuwa Nina shida nayo sana kwa ajili yangu na familia yangu. Nimejaribu sana kutafuta siku ya Leo lakini nimeshindwa.

Ndipo wazo la kurudi jamiiforums ambapo naamini pia ni familia yangu likanijia. Na kweli Nimefanikiwa kupata msaada hapahapa jamiiforums. Nimepata zaidi ya nilichokiomba.

Namshukuru sana KXY na Mungu akubariki sana. Mungu awabariki nyote.

Asanteni sana 🙏.

Naomba kufunga uzi wangu. Asante
 
Back
Top Bottom