Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

Huwa hamkubali ukweli lakini ndio hivyo mnasubiria mwezi upotee na kurudi mjue kuna kufunga au lah na idd lazima mwezi uonekane. Kula futari lazima jua lizame.

Hio kalenda ya Gregory inafatwa na watu wote duniani sio wakristo pekee. Maisha yako yote yanaendeshwa na hio kalenda ndo maana tarehe inasomeka march 18 ,2024 na sio vinginevyo.

Huko pengine mnadanganyana jua linazama kwenye matope
Numbisa hatuabudu Jua na mwezi.Nikupe mfano hivi unajua Kalenda hii tunayotumia inaitwa kalenda ya Gregory imeasisiwa na papa Gregory na ndio inatumiwa karibu na dunia nzima na inatumia mzunguko wa dunia inavyolizunguka Jua? unaweza sema wakristo wa dunia nzima wanaabudu Jua?.
Kalenda ya Kislam yenyewe inafuata mzunguko wa mwezi haiamanishi waislam wanaabudu mwezi.

Na kwa taarifa yako kalenda ya kislam ndio kalenda sahihi zaidi kuliko kalenda zote na ndio maana kwenye uslam tarehe za idi au kufunga sio constant sababu zinakwenda sawia lakini kwa kalenda ya Gregory kuna mahali wanafanya marekebisho kuweka mambo sawa mfano mzuri pale mwaka mrefu unapokuwa na siku 29 mwezi wa pili ili kufidia ile robo ya dunia kuwa inazunguka jua kwa siku 365 na robo sasa hiyo robo ndio wanazidisha mara nne inakuwa kitu kizima ndio maana miaka yote inayogawanyika kwa nne ndio wanaongeza siku moja ya 29 mwezi wa pili.
Pia miaka yote yenye 00 mwishoni mfano 1800,1900 japo inagawanyika kwa 4 lakini haina miaka mirefu illa sharti mwaka kama una 00 mfano ilivyokuwa 2000 sharti ugawanyike kwa 400 ndio utakuwa mwaka mrefu na ndio maana mwaka 2000 ukawa mwaka mrefu.
Mahesabu yote haya yamewekwa ili dunia isipoteza majira yake.
Nimejaribu tu kueleza haya kuwa hawa watu wa dini hawakufanya haya ajili eti wanaabudu Jua au mwezi
 
Ya dar es salaam hiyo hapo
....je hiyo yako Unauhakika l ni kwa shinyanga?
Hapana masaa Hutolewa kama Average maana yake ni Range tu sio exact time..
Kwa mfano ukiandikiwa Saa 3:45 maana yake Around huo muda..
 
Huku Mpanda ukisubiri jua kuzama utashangaa saa 1.30 usiku
Ikifika saa moja wewe futuru… nyie hamna saa au hamjui kusoma saa?
Maana naona mnabanwa na njaa sana imekuwa siyo ibada bali ni njaa
 
Huwa hamkubali ukweli lakini ndio hivyo mnasubiria mwezi upotee na kurudi mjue kuna kufunga au lah na idd lazima mwezi uonekane. Kula futari lazima jua lizame.

Hio kalenda ya Gregory inafatwa na watu wote duniani sio wakristo pekee. Maisha yako yote yanaendeshwa na hio kalenda ndo maana tarehe inasomeka march 18 ,2024 na sio vinginevyo.

Huko pengine mnadanganyana jua linazama kwenye matope
Halafu ukiangalia hiyo calender unagundua kuwa avarage ya kufuturu ni saa moja usiku basi kwa hiyo si lazima kusubiri jua ku set….! Halafu hii imekuwa kiu ya kula sio ibada
 
Huwa hamkubali ukweli lakini ndio hivyo mnasubiria mwezi upotee na kurudi mjue kuna kufunga au lah na idd lazima mwezi uonekane. Kula futari lazima jua lizame.

Hio kalenda ya Gregory inafatwa na watu wote duniani sio wakristo pekee. Maisha yako yote yanaendeshwa na hio kalenda ndo maana tarehe inasomeka march 18 ,2024 na sio vinginevyo.

Huko pengine mnadanganyana jua linazama kwenye matope
Siku zote nilikuwa nakuheshimu sana nimegundua kumbe busara sifuri
 
Back
Top Bottom