Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheti cha kuzaliwa hakitolewi na nesi hospitali, hilo ni 'tangazo' peleka RITA kapate cheti huko ndo utajaza majina yako…. hongera kwa kupata mtoto mkuu.A
Asante kwa mchango wako ngoja wenye uelewa waje we pumzika kwanza.
Asante sana mkuu lakini ni cheti cha kuzaliwa kabisaCheti cha kuzaliwa hakitolewi na nesi hospitali, hilo ni 'tangazo' peleka RITA kapate cheti huko ndo utajaza majina yako…. hongera kwa kupata mtoto mkuu.
Baada ya kuambiwa vile, ungesikiliza maelekezo zaidi kuhusu nini cha kufanya….. sio kukaza fuvu.A
Asante sana mkuu lakini ni cheti cha kuzaliwa kabisa
We nae kaa upumzike kama nilivyo kwambia mwanzo na sio kuweka kauli zako za kejeli na kuonyesha jamii ni kwa kiasi gani hauko sawa kwenye kutoa maoniBaada ya kuambiwa vile, ungesikiliza maelekezo zaidi kuhusu nini cha kufanya….. sio kukaza fuvu.
Kwa hiyo mtoto wa wako?Wanajua mtoto sio wako so hawataki kujaza majina yako.
Maelezo yako yana ukakasi kwa kiasi fulani, kuna vyeti vinavyotolewa na RITA na vyeti ambavyo kwa sasa ni program maalum kwa baadhi ya mikoa ambavyo vinatolewa kituo cha afya na ofisi za watendaji kata, Lakini vyeti vyote lazima viwe na taarifa zote, jina la mtoto, majina ya wazazi wote, umri nk. Nakushauri km unaona utata fika ofisi za RITA zipo ofisi za Wakuu wa Wilaya ukiwa na hicho cheti ulichopewa kwa ufafanuzi.Aligoma kujaza na hapo ndio nimebaki nashangaa huu utaratibu umwanza lini na anasema ni maagizo ya serikali yani wahudumu wa hospitali sijui ata wanasomeaga wapi na waliitana wodi nzima kumtetea mwenzao kua yuko sawa kutokujaza jina la Baba na la Babu wa mtoto
😂😂😂😂Wanajua mtoto sio wako so hawataki kujaza majina yako.
Cheti cha kuzaliwa hakitolewi na nesi hospitali, hilo ni 'tangazo' peleka RITA kapate cheti huko ndo utajaza majina yako…. hongera kwa kupata mtoto mkuu.
Wanajua mtoto sio wako so hawataki kujaza majina yako.
Asante sanaMaelezo yako yana ukakasi kwa kiasi fulani, kuna vyeti vinavyotolewa na RITA na vyeti ambavyo kwa sasa ni program maalum kwa baadhi ya mikoa ambavyo vinatolewa kituo cha afya na ofisi za watendaji kata, Lakini vyeti vyote lazima viwe na taarifa zote, jina la mtoto, majina ya wazazi wote, umri nk. Nakushauri km unaona utata fika ofisi za RITA zipo ofisi za Wakuu wa Wilaya ukiwa na hicho cheti ulichopewa kwa ufafanuzi.