Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Inategemea na ukubwa na standard ya mgahawa wako
Kuhusu eneo ambalo ni hot
Kama ni mgahawa wa chakula Cha 3000-5000 maeneo ya stand kubwa na maeneo jirani yatakuwa Bora zaidi,
Kama ni migahawa ya Hadhi ya juu
Labda chakula 15000- 90,000 kwa mlo mmoja
Maeneo ya clock tower na maeneo ya jirani yatakuwa Bora zaidi
Kuhusu mtaji siyo fixed
Mfano Mimi nikitaka kufungua mgahawa maeneo ya stand nikiwa na milioni 5-7 itatosha
Ila ikiwa ni maeneo ya clock tower
Mtaji angalau milion 100 na kuendelea
Kwa nini
Kuna vitu vingi mna vya kununua
Mfano
Friza kubwa
Friji za jikoni na za bar
Mashine ya kahawa
Setting na design
Mashine nyinginezo, mfano ice cream machine juicer
Meza za Hadhi ya juu
Majiko makubwa
Salamanda kwa ajili ya kupashia sahani muda wote
Matank Zaid ya moja kwa ajili ya kuhifadhi maji
Microwave
Meza za jikoni
Utengenezaji wa menu na kulipa wafanya kazi
Hasa barista, barman na wapishi
Mishahara Yao Huwa juu kidogo Kati ya 400k -1m+
[emoji120][emoji106]