Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana


[emoji120][emoji106]
 
💪💪💪
Idea ya loyalty card nimeipenda. Nilishawahi kufikiria ila niliita membership card. Mteja wa mara kwa mara anapata zawadi/discount/free service kwa plan ambayo haina hasara kwa mmiliki wa biashara na pia inamotivate Mteja kurudi tena hasa huduma ikiwa yenye ubora.
 
Asante Ufafanuzi ulioshiba
 
Kitu cha kuzingatia ni segment uliyo itarget kufungua biashara yako..

1. Kama unampango wa kufungua mgahawa eneo la watu wenye income ndogo hakikisha mgahawa wako usiwe wa kupendeza (uwe wa kawaida tu )yaani uwe na viti, meza na vyombo vya kupikia basi, ukizidisha mbwembwe sijui tv, Ac, na matangazo kibao HUWEZI KUTOBOA kwa sababu wateja huogopa kwa kuhisi Kuna bei kubwa.
Vice versa is true

Eneo la watu wenye kipato weka kila kitu cha kupendeza na kuvutia wateja huku ukizingatia bei na ubora wa bidhaa yako pia usisahu kuomba mungu au kuroga.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…