Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka ahsante kwa haya ulosema ni kwel nlkuwa nimekata tamaa na mambo ya Mungu mpaka kuna mda nilihc huenda hayupo ila nimechunguza nature inaonyesha kuna Muumba, hvyo nimeamua kumrudia nakusali kwake.Kama ulikuwa umetoka katika imani yakumuabudu Muumba wa mbingu na dunia basi rudi ukiwa umenyenyekea na ujitakase na kila aina ya maovu na uzidishie kutoa sadaka kwa wahitaji hata kama nikidogo kwa kufanya hivyo utakuwa umejitengenezea njia na mambo yako yatafunguka kwa uwezo wa Mwenyez Mungu.
Umefanya jambo jema sana Mwenyez Mungu akuongoze katika njia yake usikate tamaa nikutakie kila la kheri na Mwenyez Mungu akufanyie wepesi katika mambo yako Ameenkaka ahsante kwa haya ulosema ni kwel nlkuwa nimekata tamaa na mambo ya Mungu mpaka kuna mda nilihc huenda hayupo ila nimechunguza nature inaonyesha kuna Muumba, hvyo nimeamua kumrudia nakusali kwake.
Maziwa hutii maji lkn?Kaka ni vile tu biashara haiendi.. nazungusha maziwa mtaani sku za nyuma mambo yalikuwa yanaenda kiasi lakini sasa... unazungusha lakin wapi... kaz mtaani hakuna... ukifanya wanadhulumu... nipo bukoba.
Nakazia...Sometimes muwe mnaacha utoto kwenye mambo ya msingi sio kila anayekuja hapa anataka kujibiwa upumbavu
Kama hauwezi kutoa ushauri Bora ukapita kimya kimya halafu unakuta watu Kama wewe inaishi kwa mama yako Pumbavu.
Mkuu yule jamaa naona kapoteaUnaweza fanya kazi ya ulinzi kampuni binafsi Kwa 120.000 nikuunganishe hko Kagera ?
Dah basi pole kijanaMaji siweki hata kidogo...
Hapa hapo ulipo. Kama uko jijini au manispaa, jaribu kwenda miji midogo. Huko utakuta kuna fursa wewe utaona kichwani lkn wenyeji hawaoni.Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu...
Twende kwenye mada..
Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie...biashara ndogo ninayfanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. naona msongo wa mawazo unaninyemelea, tafadhal mbnu zinahtajka kwa hali na mali..
Natanguliza shukrani..
NB: si mwandish mzur saana.
Hahaha duhMkuu yule jamaa naona kapotea
Nashukuru kwa dokezo sana kwa hili...Lakn unaweza kunipa mapendekezo kadhaa ya kuangalia ninapoenda kusurvey niwe na dokezo...Hapa hapo ulipo. Kama uko jijini au manispaa, jaribu kwenda miji midogo. Huko utakuta kuna fursa wewe utaona kichwani lkn wenyeji hawaoni.
0699626644 asbh nitafteMbona nipo!!