uriotz_
Member
- Oct 4, 2022
- 36
- 31
Vijana wengi sikuhizi tunakosa mbinu za kibiashara, unaweza kuwa na mtaji na huna pa kuanzia, mm nadhani hatujajua jamii inahitaji nini.Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu...
Twende kwenye mada..
Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie...biashara ndogo ninayfanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. naona msongo wa mawazo unaninyemelea, tafadhal mbnu zinahtajka kwa hali na mali..
Natanguliza shukrani..
NB: si mwandish mzur saana.