Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

Maisha hayazoeleki kila unapotafuta mbinu ya kuyawezea na yenyewe yanabadilisha formation kinacho kukuta ni kuchezea kichapo tu
 
kaka ahsante kwa haya ulosema ni kwel nlkuwa nimekata tamaa na mambo ya Mungu mpaka kuna mda nilihc huenda hayupo ila nimechunguza nature inaonyesha kuna Muumba, hvyo nimeamua kumrudia nakusali kwake.
 
Swala la biashara kuyumba ni kwa wengi, mzunguko umekua si rafiki sana. Ni kubalance tu matumizi....japo ni ngumu kumeza
 
kaka ahsante kwa haya ulosema ni kwel nlkuwa nimekata tamaa na mambo ya Mungu mpaka kuna mda nilihc huenda hayupo ila nimechunguza nature inaonyesha kuna Muumba, hvyo nimeamua kumrudia nakusali kwake.
Umefanya jambo jema sana Mwenyez Mungu akuongoze katika njia yake usikate tamaa nikutakie kila la kheri na Mwenyez Mungu akufanyie wepesi katika mambo yako Ameen
 
Kaka ni vile tu biashara haiendi.. nazungusha maziwa mtaani sku za nyuma mambo yalikuwa yanaenda kiasi lakini sasa... unazungusha lakin wapi... kaz mtaani hakuna... ukifanya wanadhulumu... nipo bukoba.
Maziwa hutii maji lkn?
Mna mimi nimekulia kwenye iyo biashara vizuri sanaa
 
Pole sana mkuu ,usikate tamaa ,pambana ,jaribu kuwashirikisha watu wako wa karibu wenye misaada wanaweza kukuboost na msingi.....Riziki ya mtu ipo kwa mtu.
 
Sometimes muwe mnaacha utoto kwenye mambo ya msingi sio kila anayekuja hapa anataka kujibiwa upumbavu

Kama hauwezi kutoa ushauri Bora ukapita kimya kimya halafu unakuta watu Kama wewe inaishi kwa mama yako Pumbavu.
Nakazia...
 
Hapa hapo ulipo. Kama uko jijini au manispaa, jaribu kwenda miji midogo. Huko utakuta kuna fursa wewe utaona kichwani lkn wenyeji hawaoni.
 
Hapa hapo ulipo. Kama uko jijini au manispaa, jaribu kwenda miji midogo. Huko utakuta kuna fursa wewe utaona kichwani lkn wenyeji hawaoni.
Nashukuru kwa dokezo sana kwa hili...Lakn unaweza kunipa mapendekezo kadhaa ya kuangalia ninapoenda kusurvey niwe na dokezo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…