Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya juu ni ya mvi mkuu? Kijana nimeota mvi mpaka mtaa unanishangaa
Inatokea tu ndugu yangu, hata Mama yangu alianza kuota mvi akiwa na miaka 30, ndiyo mambo ya kurithi hayo. Unaweza ukawa unapaka black.Hiyo ya juu ni ya mvi mkuu? Kijana nimeota mvi mpaka mtaa unanishangaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ya juu ni ya mvi mkuu? Kijana nimeota mvi mpaka mtaa unanishangaa
Usikate tamaa kirahisi, nimekutumia screenshotya Aliexpress, jaribu kusoma na comments za wateja walionunua hizo bidhaa za kuotesha nywele.Itabidi nianze kupiga mapara tu, hamna namna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi wew si wa huyo mzee nenda kwa upole muulize mama ako akuonyeshe baba ako mwenye kipara mpaka kisogoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungepata bahati ya kuniona na ikatokea siku umekutana na mzee wangu akiwa peke yake, hutohitaji hata kuuliza kama ni baba yangu, tumefanana hadi unyayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea nimecheka hapa, mweeeehKiduku bye bye itabidi uwe mdau wa kipara