Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

pole sana ndugu at 20s kuota uwalaza ni stress tupu. Na rafiki yangu alikuwa anapenda kufuga nyewele but now ni mwendo wa kunyoa kipara
Asante sana, hii kitu inaleta stress mno especially kwa tusiozoea kunyoa vipara.
 
Mambo ya uwalaza hayo,ila wengine unawapendeza...
 
kubaliana na hali maana kadri mda unavyoenda ndio kipara kinaongezeka.
 
Nyoa TAKO style , kama vipi ngoja tumpigie Rooney
 
Sio rahisi mkuu [emoji23][emoji23]
images (1).jpeg


Mh. Benjamin Mkapa (RIP)

images.jpeg
 
Hiyo ya juu ni ya mvi mkuu? Kijana nimeota mvi mpaka mtaa unanishangaa
Inatokea tu ndugu yangu, hata Mama yangu alianza kuota mvi akiwa na miaka 30, ndiyo mambo ya kurithi hayo. Unaweza ukawa unapaka black.
 
Itabidi nianze kupiga mapara tu, hamna namna.
Usikate tamaa kirahisi, nimekutumia screenshotya Aliexpress, jaribu kusoma na comments za wateja walionunua hizo bidhaa za kuotesha nywele.
 
Usikate tamaa kirahisi, nimekutumia screenshotya Aliexpress, jaribu kusoma na comments za wateja walionunua hizo bidhaa za kuotesha nywele.
Mkuu, wanasema permanent solution hapo ni hair transplant tu, hizo nyingine ni temporary.
 
Mi nilipata kipara nikiwa na umri wako sema mashaallah nimejaliwa ndevu nyeusiii watu hudhani nimezitia dawa.So kwangu ni faida mzuri.
 
Back
Top Bottom