MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

Dar As Salaam

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
293
Reaction score
528
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.

Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"

Sasa najiuliza, mke wangu anauza biashara ya supu ya mbuzi bila mimi kujua? Kwanini ananificha kuwa anauza nyama ya mbuzi?

Msaada wakuu.
 
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.

Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"

Sasa najiuliza, mke wangu anauza biashara ya supu ya mbuzi bila mimi kujua?

Msaada wakuu.
Hauna account Facebook mkuu?
 
1000094524.jpg
 
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.

Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"

Sasa najiuliza, mke wangu anauza biashara ya supu ya mbuzi bila mimi kujua?

Msaada wakuu.
Umekuja lini mji WA jamiiforum?!
 
Msaada

Umekuja lini mji WA jamiiforum?!
Tungo tata hoyo.mbuzi kama mbuzi, na mbuzi wewe.
 
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.

Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"

Sasa najiuliza, mke wangu anauza biashara ya supu ya mbuzi bila mimi kujua?

Msaada wakuu.
Umedhihirisha wewe ni MBUZI kweli. Dingi angejua bao lako angepiga nyeto tu.
 
Back
Top Bottom