MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

Kama umerudi hujakuta mabaki ya ngozi, jiko au vyombo vya kuuzia supu, basi huyo MBUZI ni wewe mkuu.
 
Nimeelewa kwanini huu uzi upo kwenye chit chat
 
...Ni sawa na kukurupuka kununua MB za 10,000 kwenye kiswasadu.

Akili ya kukaa na Hilo jini bado hujaimasta.
Hauzi supu 😁 huyo πŸ–οΈ masalam.
 
...Ni sawa na kukurupuka kununua MB za 10,000 kwenye kiswasadu.

Akili ya kukaa na Hilo jini bado hujaimasta.
Hauzi supu 😁 huyo πŸ–οΈ masalam.
Una maanisha nini mkuu?? Anauza supu ya mbuzi??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja nikuitie cocastic aseme... Maana nikasema mm mtasema ni chuki binafsi
 
Aiseee kumbee supuu tu

M nilijuaaa sehemu za sirii

Woii

Mpe Dukak kariakoooo auze nguooo
 
Itakuwa Mkeo ana Mbuzi Kwenye zizi, Sasa jamaa anataka kuja kumnunua - ndio maana anauliza kama " Huyo Mbuzi bado yupo"......Kwani Mkuu haukuwahi kumpa mtaji wa Mbuzi Mkeo?
 
Itakuwa Mkeo ana Mbuzi Kwenye zizi, Sasa jamaa anataka kuja kumnunua - ndio maana anauliza kama " Huyo Mbuzi bado yupo"......Kwani Mkuu haukuwahi kumpa mtaji wa Mbuzi Mkeo?
Sijawahi kumpa mtaji wa kufanya biashara ya supu ya mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…