Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

Yani ilinikuta nipo home nishamaliza chuo nasikilizia majibu,daah nikaota hiyo ndoto nipo darasani napiga pepa,provisional result kutoka nipo na sapu yangu imenyooka,[emoji28][emoji28]
Hii ndoto yako ni tofauti xana aiseee....
 
Back
Top Bottom