buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa.
Sasa imezidi hadi mfumo wa NIN pia inagoma kuhakiki naambiwa taarifa sio sahihi.
Nimefika hadi office za NIDA Wilayani wakadai kwa kuwa nina Kitambulisho website ya NIN haina umhimu.
Lakini safari hii hadi BRELA inanipa Shida, nimeona kuna tatizo la Verification system huenda Taarifa zangu hazijawa Synced or refreshed kwenye API zinazopewa BRELA na mashirika mengine au Gateway.
Naomba aliye na mawasiliano na Watu wa IT NIDA anisaidie au ambae amewahi kukumbwa na hii kadhia aweze nipa mawazo alifanyaje natanguliza Shukrani.
NB: Nimeenda office za NIDA naambiwa tu NIDA yangu haina shida while ina Shida ya kutoverify mifumo mingi ya usajili hata wao wenyewe wa NIN.