KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Katika Mfumo wa NIS ukiona nida inakataa jua kuna taarifa unayoweka haipo sawa,hakikisha taarifa zote ni sahihi kama ulivyoweka kipindi unasajili NIDA
 
Nimeshaenda mpaka tumeenda nikamfungulia mtu wa NIDA ajaze kisawa sawa kwa kuangalia ila hola.

Taarifa zote nimeoneshwa na kuandikiwa
 
Back
Top Bottom