Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Habariiii members hii ni story moto sana naishusha wala msijali.

Hii story nitakuwa kila siku naleta vipande viwili kutokana na muda inaweza kuwa kimoja mchana na kingine usiku.

Stay tuned, kesho mapema moto unawaka. Achia comment ili ninapoweka sehemu ya kwanza nikumention 🤪.
Sawa
 
Sehemu ya 1

Mapambano ya naanza ni siku nyingine Naitwa Thaibu kijana mchapa kazi, nilizaliwa mnamo tarehe 08/06/2004 nilimaliza elimu yangu ya msingi 2016 na siku bahatika kuendelea na shule
hivyo nilitumia mwaka mzima nyumbani mpaka pale nilipoona kuwa sasa inabidi niyajenge maisha yangu
Nilienda kwa baba yangu ambaye aliishi boko bunju, baba yangu huyu alishaachana na mama yangu Nia y kwenda ni kuomba mtaji wa biashara

Niliamini kuwa hapo ndipo nitakapo pata kila hitaji kwani alikuwa na maisha mazuri gari na nyumba kubwa, ila niliwaza kwanini alimtelekeza mama yangu katika nyumba ndogo na kwenda kuoa mwanamke mwingine?
Hayanihusu nilijijibu mwenyewe kwani sikuwepo kipindi cha ugomvi wao wala sikuwa najielewa
nilizungumza na mama kuhusu jambo hili, alipinga alipinga alipinga sana hakutaka hata kuaikia jina la huyo baba yangu
Nilitoka kwa hasira na kwenda chumbani kwangu nikiwaza ni kwanini? kwanini mama hataki kusikia jina la baba yangu ni kwanini?

nilijishauri sana kisha nikapitisha wazo hili kwakua ninamiliki simu ndogo na namba yake ninayo nitampigia na kumwambia kuwa nataka kuonana naye, historia fupi na huyu baba yangu ambaye sikuwahi kuongea naye kwa muda mrefu kutokana na kutokuwa na simu pia mama alinibana sana kwenye jambo hili alipinga na kupinga na kupinga na kupinga
siku moja baada ya mama yangu kunipatia simu ambayo alikuwa anatumia baada ya yeye kununja simu janja aliomba nimuhamishie namba zake zote na nifute kisha nibaki na simu hiyo, wakati nahamisha nilikuwa namtajia ambayo hakuitaka angesema na ningeifuta
ilipofika wasaa wa namba ya baba aliniangalia sana (aliisave kwa majina yote matatu) akasema ihamishe na ufute, nilihamisha ila sikufuta kwangu ndio sababu mpaka leo ninayo

Nilinyanyuka na kwenda kuchukua kibubu changu nilikivunja na kukusanya pesa zote ambazo nilifikia Tsh 50,000 zikiwa ni sarafu za miambili, nikachukua 1000 na kwenda kununua vocha nimpigie baba yangu
griiiiiiiigriiiiiiiigriiiiiiiiiigriiiiiiiigriiiiiiiigriiiiiiigriiiiii simu yake iliita na muda kidogo ilipokelewa

Baba: Haloo
Mimi: Shikamoo
Baba: Marakhaba nani mwenzangu?
Mimi: Nimimi Thaibu
Baba: Aaaa hujambo?
Mimi: Sijambo
Baba: Haya niambie
Mimi: Nataka kuonana na wewe ila usimwambie mama
Baba: Lini?
Mimi: Siku utakayo kuwa free
Baba: Njoo siku ya jumapili Jangwani sea breeze
Mimi: Ndo wapi?
Baba: Wewe njoo mpaka africana kisha nitakupitia
Mimi: Sawa
Baba: (Alikata simu haraka sana)

Ilikuwa siku ya Jumatatu hivyo nilikuwa na siku kadhaaa mbele kingine ambacho kiliniumiza kichwa ni kuwa nilishindwa kuelewana nae muda anyway nilijisemea ngoja niendezangu kijiweni karibu na stand ya daladala
Nilitoka zangu mdogo mdogo mpaka kijiweni oya vipi furesh furesh, sikieni wanangu wanangu mimi ninachange change nyingi (nikimaanisha sarafu za miambili) je wapi nitabadilisha kwa faida?

Mwanangu upo na mali na umekaa kizembe sikia sasa unaona hapo anza biashara ya kuuza change mbona inalipa, meza hii hapo ya mwana mbona hana tabu jamaaa maana alikula mtaji wote
Mimi: Bonge la wazo ngoja nikchukue pesa, wala sikungojea jua lizame nilitoka moja kwa moja mpaka nyumbani na kubeba elfu 30 kwenye mfuko na kuja nazo stand na kuzipanga
nilijiongeza kwa kusema kuwa kwenye buku mbili nakata 200 tu
Niliuza sana change japo hazikuisha na siku iliyofuata pia niliuza na pesa ikawa imeisha yote ni noti, nikazitunza pesa zangu na sikuendelea na biashara hiyo kwani mma aliikataaa katakata na kusema kuwa inakudhalilisha sana

kesho yake ahsubuh nilikwenda tena kijiweni katia story za hapa na pale ndio rafiki yangu mmoja alisema unajua biashara ya kuuza bangi inatoa sana, nilitege masikio yangu niisikilize vizuri kwani jamaa katika kijiwe ndio don pale, yan ukiuza kilo zako kadhaa tayariii umetoboa

Oya wewe usitake kutuchomesha tumeridhika na umasikini wetu kubet kutatutoa siku moja, Ok sawa jamaa alijibu na kuendelea story nyingine,
Huyu Mbwa anapesa kumbe sababu ya bangi hapo nikipiga kipengele kimoja napata pesa nakula nachomokea zangu kushoto "Nilijiwazia hivyo"

Wiki ilikatika sana mpaka jumapili ambapo nilivaa nguo zangu vizuri na kuanza safari mida ya saa moja ahsubuh, mkuu mosi mguu pili kwenye daladala na kushuka hapo mbezi beach afrikana, ilitimia saa 3 ahsubuh nilipiga simu ya baba akapokea na kusema Nisubiri nakuja kisha akakata simu
Ndugu tutafute pesa tu maana nilikaa mpaka saa tisa na nusu jioni ndio mzee kaingia na RangeRover, Dogo panda twende

Tuliondoka mimi na babu mpaka beach moja tukatafuta sehemu ambayo ilikuwa imetulia, akaagiza chakula sikutaka kuremba wala nini nilianza kugonga msosi

Baba: Kijana taratibu, unashida gani?
Mimi: Nilifeli darasa la saba ninaomba mtaji wa biashara
Baba: Hivi unajua baba yako alishafariki mimi sio baba yako, nivile tu unatumia jina langu, nimependa kujitoa kwako nitakupa mtaji kiasi ilinufanye biashara ila huo ndio msaada wa mwisho kwako, nitakupigia, aliniachika 50,000 na kuondoka

Chakula kilinishinda kwani sikutegemea kusikia kusikia kuwa yeye sio baba yangu
Ni nzr
 
Sehemu ya 4

Ahsubuhi sikuweza kutoka haraka sababu ya kitendo cha jana nilikaa sana chumbani mpaka mlango ulipogongwa sana, nilitoka na kumuona princess
Mimi: Shikamoo
Marakhaba njoo unywe chai
Nilipiga chai pale lakini sikumwona yule mwanamke mjakazi ndani
Akasema mwenzio ameshaindokanna wewe jiandae jumatatu unaenda shule

Sikuzilisonga sana na kweli siku ya jumatatu niliamshwa ahsubuh nikajiandaaa na kupelekwa shule maeneo ya kibaha, nilipokelewa na kukabidhiwa kwa madamu fulani aliye onekana kijana jana tu,
Na princess aliondoka bila kuniaga maisha yalianza hapo shule ya kushinda bwenini sababu nilikuja mapema kabla ya tarehe ya kufunguli

baada ya kufungua sasa nilianza rasmi kusoma na ndipo nilipogundua nilidanganywa na princess kuwa shule ni ya mchanganyiko kumbe boys tupu, daaah nilisoma kibishi sana miezi ya mwanzo sababu nilimiss sana showshow za house girl, nilichokiweza ni kuwa na simu ndogo tu ambayo niliweka memory card yangu na x za kutosha mimi na wadau usiku tulikua tunacheki sana, na ndipo nilipojifunza tabia ya kupiga punyeto

Nashule muda wa ahsubuh na jioni kuoga, kulikua na bato la pesa kwa kijana ambaye atarusha bao mbali sana, nilishiriki ila kulikuwa na miamba ambayo ilikuwa inaenda tatu kavu na yote km za kwenda
Maisha yalienda mpaka kila ijumaa ya mwisho wa mwezi kulikuwa na disko

Mademu waliitwa toka shule binafsi na ndipo tulipokuwa tunakata kiu, mda wa kudance taa huzimwa na watu hufanya dhambk zetu, tatizo ni kale ki madam mda huo yani sijachukua hata 20mins naitwa et nikamsaidie kuhakiki mitihani au madaftariii, ukaribu ule niliufaidi darasani na kula tu ila siku za starehe nilibanwa sana

Ni ijumaa nyingine tena, nikazama disko kumtafuta mrembo wangu, zanaki tukaanza kudance baada ya taa kuzimwa anageuza sketi, fungua zipu kisha nazamisha dudeeee, sijakaaa vizuriii mtu anatumwa aje kuniita siku hiyo niligoma, nenda ka mwambie nipo na mke mwenzie, kisha nikaendelea na mambo yangu moaka saa4 disko lilipozimwa na kurudi mbwenini

Thaibu unaitwa na Madam, nilitoka mdomdo mpaka kwa madamu (ofisini mwake nyuma ya cafeteria) wewe unanijibuje?
sasa nataka unioneshe ulichokuwa unafanya, nilikaa tu kimya ndipo madame na kusema kesho utakula macho yako

Niliondoka zangu na kurudi bwenini, ahsubuh assembly nikasikia nikiitwa na wana wengine et tulimpiga mwenzetu disko soo ambalo hata silijui, adhabu ikawa bakoro 20 na kwenda kwenye shamba la shule kulisafisha, ndugu nilifanya kazi siku hiyo hata chai sikunywa jioni tulirudi nikiwa nimeshapata picha kuwa kipindi sisi tunadance wana walikuwa nyuma ya hall wakimdunda jamaa mmoja ambaye hua anajiona mwamba sana sasa yule madame aliniingiza kwenye kesi maksudi

Nilipofika tu nikaoga hata nguvu ya nyeto sikuwa nayo nikaenda zangu kulala, kesho yake nikaenda class na siku iliyofuatia madame mida ya saa moja aliniita na kusema unaona ujeuri wako unapoweza kukufikisha sasa nataka tuwe wapenzi wa siri sawa, akanifuata na kushika zipu yangu na kunihamasisha kimapenzi kweli nilifanya nae mapenzi na sikuwa mzembe sana

Maisha hayo yaliendelea kwa miaka yote minne ya shule ambapo nililala na mwalimu kila tupatapo muda, nilishiriki mapenzi na wanawake wengine disko na punyeto
Nilifanikiwa kufanya mitihani ya mwisho na kupata division ya pili ya mwisho

kipindi najiandaa kurudi kwa princess yule madamu aliniita na kunipa simu na vifaa vyangu vingine kisha akasema, nililipwa pesa na yule dada yako ili nitimize tuliyofanya kihisia sawa
Kwaiyo usije dhani nilikupenda sana chukua namba yangu ikiwa utapata shida au kwa salamu tu unaweza nitafuta
Akaendelea, Nimekuwa nikimtafuta princess kwa miaka miwili bila mafanikio namba yake haipatikani lakini siunajua kwenu?
Mimi: Ndio
Nikapewa pesa ambazo princess alimwambia kipindi naondoka nipewe, nikakodi gari mpaka maeneo ya pale nyumbani, kweli nilifika pale nyumbani na kubisha hodi mlango ukafunguliwa na yuleyule mlizi, akaniruhusu niingie ndani
Baada ya kufika ndani mambo mengi halibadilika na mpaka samani za ndani na watu wapya pia
Nilisalimia na kusema nilikuwa nikiishi na princess nyumba hii, mbona huyo dada alishafariki kitambo
Paaaaaaahhh moyo ulipiga na nilikaa chini
nini?
Ndio aliumwaga kansa ya damu na kufariki sisi ndio wazazi wake na yule ni binti yetu alituambia kila kitu kukuhusu na aliacha boksi hapa akasema tukupatie
Mimi: Alianzaga kuumwa lini?
Nimuda sana mbona hata kabla hujakaa nae, sisi hatuwezi ishi nawe tutakupatia hilo boksi na wewe utaenda kwa mama yako
Kweli lililetwa boksi dogo tu nililipokea na kuondoka yule mlinzi alinipa pole sana

Nilikodi bajaji mpaka kwa mama yangu japo kwa maneno mengi sana aliyonitamkia ila sikuwa na jinsi mitaa ilibadilika sana, na nilifika pale nyumba yetu ilipokuwepo na kukuta kuna nyumba nyingine kubwa tu, niligonga hapo na mwenyeji mzee mmoja akanikaribisha na kusema ili eneo liliuzwa miaka 3 nyuma ila hata aliyeuza hapa haarifa tuliyonayo aliuwawa bar kwenye ugomvi
Mimi: Unaweza niambia kuhusu jinsi huyo mama aliye uwawa yukoje,
Nilielezwa na kweli nilijihakikishia kuwa ni yeye akili ilishagoma kusoma kabisaaa sijui nitakwenda wapi?
Namba ya baba sina na kwake sipajui pia niliwaza kuwa yeye sio baba yangu

Niliwaza na nilimpigia rafiki yangu na kumweleza yote yalio nisibu, akasema nimekusikilizisha kwa mzee wangu na kasema njoo nyumbani dodoma, nilichukua bajaji moaka stand ya ubungo na kukata tiketi shabiby, niliketi hapo stand bila kusinzia mpaka ahsubuhi nipopanda kwenye basi huku nikikata siti ya mwisho kabisa dirishani

Safari ilianza kwenda dodoma kwa rafiki yangu, nilitumia wasaa ule kufungua lile boksi kuona kunanini, nilikuta karatasi ndefu zilizovingiritwa zikiwa na maandishi nne, niliclonclude kuwa ni barua pia nilikuta flash na bible, pete na cheki ya pesa mbayo ilikuwa imebakiza mwaka tu i expire, nilifunga boksi bila kusoma zile barua

Nilifika jioni na mwenyeji wangu akinisubiri tulianza chanja mbuga kwenda huko ukameni mpaka tulipofika nyumbani kwao ambapo alikuwa anakaa yeye na baba yake na kaka zake na biashara yao kubwa ni ufugaji

Nilianza maisha mapya pale kwa week mpaka siku nilipoenda kuchunga pamoja na rafiki yangu na hapo niliondoka na boksi ili nipate wasaa wa kusoma zile barua zilizoandikwa na princess, kiukweli zilikuwa za majonzi alinieleza jinsi ambavyo alitamani sana kuishi na kuona mafanikio yangu, ila alijua haitowezekana ndio maana alinilipia kila kitu na kuniweka mbali nae ili nisishuhudie umauti wake na msaada wake kwangu ni kama shukrani tu kwa maisha yake kwani alitumia mali nyingi kupata tiba ila hakuweza kidogo alizobaki nazo aliziuza na kunilipia ada nyingine alimpa madame na aliandika kiasi chake (madame hakunidhulumj hata sumni) baadae akaniachia na cheki aliandika pia mahali ambapo aliomba wazazi na ndugu zake wamzike nisisite kwenda kuliona kaburi lake

Siku hiyo nililia sanakwani alikuwa zaidi ya masaada kwangu pesa zote alizoacha sina nilizitumia kununua zawadi za pale nilipoenda na usafiri kula zimeisha, macho yangu ni cheki tu ambapo iliandikwa M7 cash tulipanga na ndugu yangu huyo(rafiki yangu kipenzi) kesho twende kisiri na ikikubali tukimbilie dar kuanza biashara kisiri turudi home tukiwa madon

jioni ilifika nikarudisha ng'ombe na mifugo mingine nyumabni tukala tukalal ili kesho yake tuwahi kweli tuliamka na kwenda zetu bank tukiaga kuwa tungeenda kwa rafiki yake rafiki yangu kunamsiba
Tulifika na kukabidhi cheki nilichosikia sikuamini kuwa chaki ile ni feki, nilitoka japo kimpinde na nilipewa pia elelimu ya kujua cheki yenyewe na nilijiona mjinga nilijisemea ndugu zake princess tayari wamenipiga changa la macho, acha tu wabaki nazo msaada alionipa unatosha

Maisha yaliendelea hapo nyumbani na nilijiunga facebook na nikawa napost picha na rafiki yangu
kuna siku katika post post zangu ikaingia message Facebook messenger Mambo
Nikaijibu na kuanza kuchati na yule mrembo,
ikumbukwe ilishapita 3yrs na nilikuwa nategemea kila kitu pale nyumbani kwa rafiki yangu nate nilimshirikisha kila kitu nikijuwacho,

Katika mishe mishe zetu zote tulimake pesa kiasi na tulipania kwenda dar kutali beacg na tungekaa kwa rafiki yangu fulani tulisoma wote shule, mimi nilichaguliwa kujiunga na computer science hapo udsm coict ila sikuwa na pesa hasa ukizingatia nilizoma private hivyo boom halikunuhusu ndivyo nilivyokuwa najua

kweli siku tukaanza safari na kwenda dar, tulifika kwa rafiki yetu na tulipanga tukae siku tatu tu kwaiyo kesho yake tungeenda kutalii beach koko hapo, kesho yake tuliurambia na kwenda beach mimi na mwanangu huyo huku rafiki tulipofikia yeye alikuwa na mishe zake job

Hii ndio safari ambayo ilibadilisha maisha yangu na nilikutana na vitu vya ajabu ambayo ninafikiri moaka leo ndivyo vinavyoendeesha maisha yangu na kunigharimu kwa kiasi japo nilipata mali kidogo ila tamaa kwa kiasi ilinifukuzia vingi sana

ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom