Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Sehemu ya 5
Kesho haikawiii tulikwenda beach na jamaa yangu tulivalia bukta na kwenda kuoga, hii ni mara ya kwanza kwa rafiki yangu kuona bahari so ilikuwa kama surprised fulani
Nilioga kidogo na kutoka rafiki yangu naye hakuchukua muda sababu ya uoga akatoka
Kipindi tunatwangana story za hapa na pale mademu wakipita na tuliwasabahi

Alitokea demu mmoja ambaye alijitambulisha kama Anitha, yeye alitupa campan ambayo hatukuelewa imeanzaje jamaa yangu alivutiwa na kumtamani sana yule binti ila yule demu alionesha yupo pale sababu yangu mimi, na muda mwingi alitumia kujibu mzungumzo yangu

kitendo kilichomuhuzunisha rafiki yangu, tulipiga story nyingi na mpaka tulimwambia kesho ndio tunaondoka nikachukua na namba yake ya simu wote, tukasepa maeneo ya kinondoni ili kutazama kaburi la princess kama alivyo nieleza kwenye barua zake, niliumia sana mpaka chozi lilinitoka ilinifanya nihisi kuwa dunia hii sio yetu, pia nilichat na demu wa facebook ili nionane naye mitaaa ya makumbusho kweli tulionana ila sura ni tofauti na nilivyokuwa namuona (sura ya baba)

Tulirudi kwa jamaa yetu na ahsubuh yake tuliondoka, tukiwa kwenye bus ndio jamaa akasema Mwanangu usichezeee nafasi mimi yule demu nimemwelewa sana ni vile tu, ameonesha kukupenda wewe
Nikaamua kumtafuta na kweli tulichat hapa na pale kisha akauliza mtakuja tena lini?

Nilijibu kuwa mm nategemea kwa rafiki yangu na ni kuwa mpaka tukafanye vibarua baada ya kuchunga na kazi za hapa na pale tupate pesa, ndio tuje
Akasema, msijali nyie tafuteni siku niwatumie nauli mje msipend huku mtakaa kwangu

tulirudi nyumbani na tulibipga kazi kama wiki mbili kisha mimi na rafiki yangu tuliaga kuwa tumepata kazi inalipa vizuri dar kwaiyo tunaenda kufanya, mzee na ndugu za rafiki wala hawakuwa wadadisi kabisa wakaturuhusu

bibiye alishafanya yake kwenye akaunti na tulichukua ndinga mpaka dar, tulipofika tu nilimwona bibiye akitusubiri, alinikumbatia na kunikiss shavuni, dhahiri niliona wivu kwenye uso wa rafiki yangu ila hakuwa na jinsi

akatuchukua mpaka parking na happ ndipo tulikuwa Forester nyeusi, tukadandia ndinga mpaka mitaa ya kwake Osterbay, tuliyaanza maisha na binti yule alituhudumia kwa kila kitu chakula mpaka mavazi, tulipewa pesa tunatoka na kuspend nje

baadae alitutafutia leseni za gari na alitupatia gari, ilikuwa kila simu ukimpigia nataka pesa yeye alituma chap

Shida ilikuwa hataki nifanye nae Mapenzi kabisa alikuwa yupo radhi akakodishe lodge na anitafutie demu nikalale naye, aliniambia kuwa ukimtaka mwanamke yeyote mimi nitakupa na kweli nililala na mwananmke yeyote yule

siku nikishinda nae ndani namshika mpaka kitumbua full kiss ila kuingiza mashine nooo, na tulikuwa tunalala kitanda kimoja, hebu fikiria hata kama unalla na wanawake wengine ila huyu wa ndani atakii kabisaaa

Alitupa kila kitu na kwa muda kidogo tulishakuwa maarufu sana mjini na kwenye maclub na tuliongoza kwa kugonga
kutumia mpaka Million 10 kwa siku mbili tatu kawaida sana

Huyu bibiye hakuwahi kutuambia anafanya kazi gani, hakutuambia kuhusu wazazi wake, hakutuambia kuhusu ndugu zake , Nasikuwahi kumuona akiingia period (Hedhi) muda wote nilioishi naye

Ahsubuhi alikuja mtu na kuleta mahitaji yote
Pia huyu mwanamke alijua kila kitu yani hata nifanye siri kiasi gani
alikuwa anataka kila nitokapo kufanya uzinzi basi nisimgusu mpaka nioge, siku nyingine undanganya na anakuumbua baadae

Nilikuwa napata kila kitu ila mm nilitaka tunda lake, ambalo yeye hakuwahi kunipa japo nilikuwa nalishika fresh kabisa
Rafiki yangu alikuwa akinishauri sana kuwa nisije force kama napewa kila kitu basi ishi kwa matakwa yake

Rafiki yangu hakuwa anapenda sana kutuingilia japo tuliishi wote ila alisisitiza sana kuwa inabidi tutende anavyopenda usije ukaforce vitu

Maisha yaliendelea jioni nirirudi na rafiki yangu na siku mkuta mtu ndani ya nyumba, tulioga maana tulitoka kufanya uchafu huko na mademu zetu, kisha tulikaa seblen
Nikamwambia rafiki yangu kuwa leo nambaka huyu demu haiwezekani tulale wote alafu yeye asinipe tunda

Rafiki yangu alinikataza na kusema acha ipo siku atafanya kwa hiari yake, alinisihi sana sana
Demu alirudi nyumbani tuliketi tukafurahi sana, kisha tulienda kulala, Makatazo ya rafiki yangu wala hayakuniingia akilini

Usiku ule niliforce sana mpaka yule demu akakubali na tulifanya mapenzi na alionesha kufurahia tendo kisha tukalala
Ahsubuh sana demu alitukurupusha kwa hasira sana na kutufukuza nyumbani kwake alichukua funguo za gari na nyumba yake na alitufurumusha hata tulishindwa kujitetea kwani hakutaka kusikia chochote
Tatizo ni tendo mbona alionesha kufurahia

Hatuna jinsi tuliondoka na kwenda kwa mshikaji wetu, tulikaa namba ya demu haikupatikana kabisaaa, siku tuliamua kwenda ilintuombe samahani, tulifika ile mitaa na tuliiona nyumba japo ilikuwa imebadilika kidogo na tuligonga akatoka mlinzi akawaita wenyeji wa ile nyumba
Ajabu ni kuwa wale wenyeji walikana kumjua huyo dada na wanasema wapo kwenye ile nyumba kwa zaidi ya miaka5
zaidi nguvu zilituisha kabisa kwani alipokuwa anaishi wanasema hakuna mtu kama huyo

rafiki yangu yeye aliamua kurudi kwao mimi nikaamua kubaki kjini nikisaka maisha tu kwa hali ya kawaida muda ulipita mpaka siku flani nikishangaa kuona jamaa akipiga maana ni kama alinisusa kwa kosa nililofanya
Akasema demu amempigia na kumwambia "Rafiki yako mjinga sana nilipanga nimbadilishie maisha na nilimpenda sana" tangu hapo hakupatikana tena

Baada ya siku kadhaa nikiona huyo demu akinipigia akanijulia hali na kusema"Nilikupenda sema tamaa ya muda mfupi imekuharibia kwani hukupata nini?" Niliomba msamaha sana ila aliniambia nenda bank fulani kumakuulizie fulani kuna mzigo wako

kweli nilienda hapo maisha yamenikaba fulani na nilionana na huyo mtu na kunipa pesa Ml20 cash nilimtafuta tena kwenye simu nimshukuru ila hakupatikana kabisaaa, na baada muda niliwekeza zile pesa na kuanza kuwa na maisha mazuri kidogo nilipanga kuoa, nilimtafuta tena sikumpata niliamua kwenda kwa yule dada wabank alie nipa mzigo huenda anamjua lakini wapi, niliambiwa pale bank hapakuwahi kuwa na mfanyakazi huyo
Nguvu ziliniisha na niliamua kuoa mwanamke mwingine na maisha yanasonga tatizo ni koja tu, sijabahatika kupata mtoto, kila mke wangu akishika mimba huchomoka

MWISHOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom