The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Zaddy ndo mtu mzima kama wewe😃Zaddy ndiyo nani! Kakijana kapya ulikokabahatisha!
Muwe mnatubahatisha na sisi wazee basi. Si mnajua sisi hata mkitutongoza pm hatuwaaniki jukwaani.
Niliyempenda nimekuta ana mtu..oops😃Umeamsema ulikua na mahusiano na Mume wa mtu kwa miaka 4 halafu watu wanakusifu hapqma?
Ila ingekua huu Uzi umeletwa na Mwanaume alikua na mahusiano na mke wa mtu,angekoma kwa matusi na kejeli,
Acha kuharibu ndoa za watu na mahusiano ya watu,tafuta wa kwako,
Kifupi una nyota ya umalaya.
MahiiAiseeeeeee
Nadhani haujapata tu WA kukupenda vizuri my dear!!Yanii, kuwa na my own man hivi sasa nakiri siwezii ndugu wajumbe🙌🏽
Kwani mapenzi yanaweza kugawanyika?Huyo kijana uliyempenda asiwe tu baba Uswege Mwachiluwi
All in all una moyo WA chuma kama alivyosema ephen_
Siunaona misamiati tusioijua najifunza sasa.Zaddy ndo mtu mzima kama wewe😃
I have heavy feelings for a married personNadhani haujapata tu WA kukupenda vizuri my dear!!
Wewe ni Malayer,subiri siku upate kipigo kutoka kwa wenye mali ndio utajua,Niliyempenda nimekuta ana mtu..oops😃
ukimaanisha?Nasema nini....
Sikuzote mavi hayakuagi na mwiba, lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu....🤣
Naomba huyo unayempenda hasiwe wa kwangu NITAKUUAI have heavy feelings for a married person
Kupendwa sio issue sana
Issue na wewe umependa??mnapendanaa??
Kwasisi wanaume kufanya mapenzi na wewe hakuna uhusiano wowote na kumpenda au kutokumpenda mke wangu.I have heavy feelings for a married person
Kupendwa sio issue sana
Issue na wewe umependa??mnapendanaa??
Huyo hana tofauti na wezi,mwizi hua hawazi kupata mali kwa njia ya halali zaidi ya kuiba mali za wenzake,kupata mali kwa njia ya halali ni process ndefu kuliko kupata mali kwa njia ya haramu.Nadhani haujapata tu WA kukupenda vizuri my dear!!
Contrary to popular beliefs..si kweliWewe ni Malayer,subiri siku upate kipigo kutoka kwa wenye mali ndio utajua,
Wewe ni mtu usiyejiamini,unapenda mtelemko,
Nashangaa watu kukusifu humu kwa kua na mahusiano na Mume wa mtu kwa miaka 4
Yanaanzia wapi??? Mimi nijue mwanaume ninayempenda muda huu yupo na mwanamke mwingine nitakuwa nawaza tu sijui watakua wanafanya Nini!!hata usingizi hauji!!Kwani mapenzi yanaweza kugawanyika?
Kupata wa kumaliza nae ni dhambi kwani😃?Ni age tu imefika red light imeshawaka wakati wa kukutupa mkono umefika so nafsi yako inajiambia kabisa kwamba sasa siwezi kupata wa kuanza nae bali wa kumaliza nae yeyote awe mgane (aliyezika mke) au awe mume wa mtu.
Huwa inashangaza sana mwanamke ku-stick kimahusiano na waume za watu mimi huwa nadhani ni aina fulani hivi ya uwendawazimu.