huoni hapo kaandika diploma aiseDiploma au degree!
Sorry, ila kama GPA inaruhusu aombe degree mikopo ya heslb plus posho za internship zitampushi, pia ningependa kujua location yakohuoni hapo kaandika diploma aise
Fack that acha kumshauri ujinga atapoteza hela bure tu kwani unafikiri kuomba mkopo ni bure lazima atumie pesa na hawezi kupata mkopo heslb usiniambie kwaniniSorry, ila kama GPA inaruhusu aombe degree mikopo ya heslb
Nenda kariakoo ukawe wingaHabari wakuu
Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata
Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani
Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama computer ,data entry skills, customer services, sales zote hizi niliwahi kuzifanya sehemu tofauti
Nawasilisha kwenu.
Madogo yana nafuu ๐๐๐Mabwakuuu, ๐๐๐๐
Kwa kweli. ๐๐๐๐๐Madogo yana nafuu ๐๐๐
Nipo Dar mkuuSorry, ila kama GPA inaruhusu aombe degree mikopo ya heslb plus posho za internship zitampushi, pia ningependa kujua location yako
Nina 3.7 overall gpaSorry, ila kama GPA inaruhusu aombe degree mikopo ya heslb plus posho za internship zitampushi, pia ningependa kujua location yako
aisee! Sasa hivi mtaani kugumu! Hata kwetu sisi form four graduators! Ila kwenye kujishikiza hapo sikushauri mwana! Mfano mimi sasa hivi sitaki kuajiriwa! Najiajiri mwenyewe! Mi nilipiga chini kazi kibao za kuajiriwa!! Ila kama nyumbani wanakupressurize, nakuelewa! Kwa hapo dar sijui sanaaa, ila jaribu kwenda kuomba kazi kwenye vibanda vya chips na sehemu wanazouza kitimoto!!Habari wakuu
Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata
Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani
Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama computer ,data entry skills, customer services, sales zote hizi niliwahi kuzifanya sehemu tofauti
Nawasilisha kwenu.
Hv Mkiwa mnatoa ushauri Hua mnafikiria nn?Sorry, ila kama GPA inaruhusu aombe degree mikopo ya heslb plus posho za internship zitampushi, pia ningependa kujua location yako