Habari wakuu
Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata
Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani
Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama computer ,data entry skills, customer services, sales zote hizi niliwahi kuzifanya sehemu tofauti
Nawasilisha kwenu.