Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
MechanicalNi civil?
Kwa maana ya1.wanakula Sana maisha
Comparison kwenye hizi items. Mimi ni mechanical Engineer.Kama ulivyopanga hivyo hivyo .
Too selfish ambitionWakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake.
1. TCAA
2. LATRA
3. TPA
Nawasilisha.
Wote wako wa njema ila kwa field yako wewe nenda TCAA ..TCAA hauwezi kupata chini ya Mil 4 basic ,TCAA uwanja mpana haina wafanyakazi wengi ,LATRA wako njema kwenye mshahara na posho ,TPA tangu waingiliwe na Dp world wako kimya sana ..Comparison kwenye hizi items. Mimi ni mechanical Engineer.
1. Field work
2. Basic salary
3. Allowances
Kama mhandisi unayetafuta kuhamia Wizara ya Uchukuzi, unaweza kuzingatia mambo kama vile fursa za miradi, maendeleo ya kitaaluma, na mazingira ya kazi katika kila taasisi. Hapa kuna uchambuzi wa taasisi ulizotaja:Wakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake.
1. TCAA
2. LATRA
3. TPA
Nawasilisha.
Explain. I know you don't have my reasons. Maybe kuna jambo unalijua mimi silijuiToo selfish ambition
Thank you for your insights mkuu.Wote wako wa njema ila kwa field yako wewe nenda TCAA ..TCAA hauwezi kupata chini ya Mil 4 basic ,TCAA uwanja mpana haina wafanyakazi wengi ,LATRA wako njema kwenye mshahara na posho ,TPA tangu waingiliwe na Dp world wako kimya sana ..
AI is full of bullshitKama mhandisi unayetafuta kuhamia Wizara ya Uchukuzi, unaweza kuzingatia mambo kama vile fursa za miradi, maendeleo ya kitaaluma, na mazingira ya kazi katika kila taasisi. Hapa kuna uchambuzi wa taasisi ulizotaja:
1. TCAA (Tanzania Civil Aviation Authority)
- Miradi: TCAA inashughulikia miradi ya kuboresha miundombinu ya viwanja vya ndege, kuimarisha usalama wa ndege, na utekelezaji wa teknolojia mpya za usimamizi wa trafiki ya anga.
- Maslahi kwa Wafanyakazi: Mafunzo na fursa za maendeleo kitaaluma katika sekta ya usafiri wa anga.
2. LATRA (Land Transport Regulatory Authority)
- Miradi: LATRA inafanya kazi kwenye miradi ya kuboresha usalama barabarani, kuanzisha mifumo ya kielektroniki ya leseni na usimamizi wa magari.
- Maslahi kwa Wafanyakazi: Fursa za kazi katika ukaguzi wa magari na usimamizi wa usalama barabarani.
3. TPA (Tanzania Ports Authority)
- Miradi: TPA inafanya kazi kwenye miradi ya kuboresha miundombinu ya bandari, kuongeza uwezo wa kushughulikia mizigo.
- Maslahi kwa Wafanyakazi: Fursa za kazi katika usimamizi wa bandari na uendeshaji wa mizigo.
Hitimisho:
Kuchagua taasisi inayofaa inategemea maslahi yako binafsi na ujuzi ulionao kama mhandisi.
Wizara ya Uchukuzi ina taasisi 12 kwanini wewe umechagua taasisi nne tu mujomba au shangaziWakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha, maendeleo kielimu kwa staff na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake.
1. TCAA
2. LAT
Mhandisi Mbobevu au unajitafuta? Kama mbobevu ningetarajia uwe na taarifa za kutosha kuhusu miradi inayotekelezwa katika taasisi hizoWakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha, maendeleo kielimu kwa staff na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake.
1. TCAA
2. LATRA
3. TPA
Nawasilisha.
Nimeshafanya utafiti ndio maana nime-shortlist hizo taasisi kwenye hiyo wizara. Najua zipo nyingi tu kama TAZARA, TRC, TASAC nk. Huku nilipo kazi za mechanical ni chache sana kwa sasa.Mhandisi Mbobevu au unajitafuta? Kama mbobevu ningetarajia uwe na taarifa za kutosha kuhusu miradi inayotekelezwa katika taasisi hizo
I did my homework shangazi. Ndio maana nime-shortlist hizo. Nahitaji more inputs before I step inWizara ya Uchukuzi ina taasisi 12 kwanini wewe umechagua taasisi nne tu mujomba au shangazi
Nataka kuwa mchapakazi sio kibosile. Bado sija-apply MECHANICS II. Miaka yote nilikuwa kwenye MECHANICS IKwa nini usihamie wizarani kabisa ili uwe bosi wa hizo taasisi πππ