Msaada wa taarifa. Nataka kuhamia moja ya taasisi za wizara ya uchukuzi

Msaada wa taarifa. Nataka kuhamia moja ya taasisi za wizara ya uchukuzi

Sidhani, huku ndio nakimbia kazi za kichawi kama hizo, kutengeneza majenereta, lift na ngazi za umeme nimechoka nataka nitengeneze engine kubwa kubwa na complicated mechanical parts sasa.

Wizara ya uchukuzi ina kile ninachohitaji. Kazi za kutosha na benefits nzuri kwa mtumishi.
kweli kabisa. kila la kheri
 
Are you sincerely asking this? Au ur bragging? Sioni cha kuuliza hapo!
 
Pia alisema ametoka katika taasisi za nishati yani kati ya pura au tpdc so nilitaka kufahamu pia maslahi ya huko alikotoka kukoje kwa level ya diploma

Nataka kufahamu utaratibu wa kuhama tu
Kama ni Mtumishi wa Umma mwenye Check number yako unashindwaje kujua utaratibu wa kuhama, PEPMIS huijui..?
 
Back
Top Bottom