Mkuu. Utaratibu wa kuhama ni matakwa yako. Ndio maana ili kuhama wewe ndio unaanzisha mchakato na huwezi kusema ilimradi kwenda kokote, utakuwa huna malengo.mkuu unaposema "Unataka kuhamia"unamaanisha hizo taasisi unajipeleka mwenyewe eti au ni mwajiri wako(serikali) ndio amekupa options uchague upendapo akuhamishe huko.? kwani ajira serikalini kuhama taasisi moja kwenda nyingine ni serikali yenyewe inakuhamisha au unawaomba kuhama au ni kutaka tu kama ulivyosema ww hapa hivyo matakwa yako lazima watimize kisa ww umetaka..kama yeyote anaweza "Kutaka" tu kuhama atapojisikia kwanini watumishi wa taasisi ndogo zisizo na maokoto nao wasitake kuhama kwenda taasisi kubwa zenye mishahara minene..maana ishu ni Kutaka kama ulivyosema kisha unawekwa unapotamani kuwa.!
usije ukaenda kufanya kazi ya kutengeneza lift na ngazi za umemeI did my homework shangazi. Ndio maana nime-shortlist hizo. Nahitaji more inputs before I step in
Kazi za kuandika huzitaki?Wakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha, maendeleo kielimu kwa staff (trainings) na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake.
1. TCAA
2. LATRA
3. TPA
Nawasilisha.
Upo taasis gan kwa sasa?Nimeshafanya utafiti ndio maana nime-shortlist hizo taasisi kwenye hiyo wizara. Najua zipo nyingi tu kama TAZARA, TRC, TASAC nk. Huku nilipo kazi za mechanical ni chache sana kwa sasa.
Taasisi moja kwenye wizara ya Nishati.Upo taasis gan kwa sasa?
Kama upo chini ya taasisi za wizara ya nishati bila ya shaka utakuwa upo TPDC au PURA.Nimeshafanya utafiti ndio maana nime-shortlist hizo taasisi kwenye hiyo wizara. Najua zipo nyingi tu kama TAZARA, TRC, TASAC nk. Huku nilipo kazi za mechanical ni chache sana kwa sasa.
Wizarani hataki asubiri safari mpaka wapate OC na ije kubwa, atakufa njaa kashazoea maisha mazuriKwa nini usihamie wizarani kabisa ili uwe bosi wa hizo taasisi 😀😀😀
Labda ana connection zote hizomkuu unaposema "Unataka kuhamia"unamaanisha hizo taasisi unajipeleka mwenyewe eti au ni mwajiri wako(serikali) ndio amekupa options uchague upendapo akuhamishe huko.? kwani ajira serikalini kuhama taasisi moja kwenda nyingine ni serikali yenyewe inakuhamisha au unawaomba kuhama au ni kutaka tu kama ulivyosema ww hapa hivyo matakwa yako lazima watimize kisa ww umetaka..kama yeyote anaweza "Kutaka" tu kuhama atapojisikia kwanini watumishi wa taasisi ndogo zisizo na maokoto nao wasitake kuhama kwenda taasisi kubwa zenye mishahara minene..maana ishu ni Kutaka kama ulivyosema kisha unawekwa unapotamani kuwa.!
Halmashauri ipi watu wa mechanics wanafanya projects nyingi nyingi niende mkuu?Nenda halmashauri ukachanganyikiwe
Mkuu umepatia. Nipo kwenye mojawapo kati ya hizo ila siku hizi watu wa mechanics tunapiga kazi za kada nyingine na kwenye projects tunakuwa hatutumiki kivile. Hapo LATRA bila shaka nitapiga projects za kukagua machines parts za treni, usafiri wa waya na maroli bila shaka.Kama upo chini ya taasisi za wizara ya nishati bila ya shaka utakuwa upo TPDC au PURA.
Mbona naskia huko kuna maisha sana posho kama zote na safari za kutosha.
Kwanini usihamie EWURA maana pia ipo chini ya wizara ya nishati.
Anyway hamia LATRA wako vyema sana kimaslahi.
Ukipata mchongo nishtue na mie, mie pia ni mhandisi😂
Achana na stori za mtaani mkuu, maisha yapo ila ukiwa kwenye taasisi ambapo kazi zako zimechanganya unakuwa active sana na fursa za trainings hazikupiti. Kuna mdau ametaja TEMESA napo kwa watu wa mechanics pako njema , kazi kibao.Kama upo chini ya taasisi za wizara ya nishati bila ya shaka utakuwa upo TPDC au PURA.
Mbona naskia huko kuna maisha sana posho kama zote na safari za kutosha.
Kwanini usihamie EWURA maana pia ipo chini ya wizara ya nishati.
Anyway hamia LATRA wako vyema sana kimaslahi.
Ukipata mchongo nishtue na mie, mie pia ni mhandisi😂
Asante mkuu. TEMESA kwa wazee wa mechanics pako njema bila shaka, vipi kuhusu trainings na kuendelezwa kielimu kwa staff wake hapo?Karibu TEMESA.
Sidhani, huku ndio nakimbia kazi za kichawi kama hizo, kutengeneza majenereta, lift na ngazi za umeme nimechoka nataka nitengeneze engine kubwa kubwa na complicated mechanical parts sasa.usije ukaenda kufanya kazi ya kutengeneza lift na ngazi za umeme
Mkuu mambo huwa yanakwenda kwa zamu , TPDC Ilivyosifika zamani sio ya sasa vivo hivyo LATRA inayosifika kwa sasa mambo pia yanaweza kubadilika baadae. Kama ilivyo Tanroads ya sasa na zamaniMkuu umepatia. Nipo kwenye mojawapo kati ya hizo ila siku hizi watu wa mechanics tunapiga kazi za kada nyingine na kwenye projects tunakuwa hatutumiki kivile. Hapo LATRA bila shaka nitapiga projects za kukagua machines parts za treni, usafiri wa waya na maroli bila shaka.
Huko utakuwa kichaa, Generators na magari tu tena watataka utengeneneza na spea parts hawanunuiHalmashauri ipi watu wa mechanics wanafanya projects nyingi nyingi niende mkuu?