slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 312
- 363
sio muda utaliwa tigoMe HUWA naota nafunga ndoa na Bill gate[emoji141][emoji1774][emoji23]na HUWA inajirudia rudia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio muda utaliwa tigoMe HUWA naota nafunga ndoa na Bill gate[emoji141][emoji1774][emoji23]na HUWA inajirudia rudia
🤣🤣Me HUWA naota nafunga ndoa na Bill gate[emoji141][emoji1774][emoji23]na HUWA inajirudia rudia
Hapo ukute unaota kesho mtihani wa taifa halafu hujajiandaa hukumbuki topic yoyote.habari Wana J forum natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu elimu ya sekondari lakini licha ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimemaliza kidato Cha nne nimekua nikiota ndoto zikionesha kuwa nimerudi shule nasoma pia mazingira ya shule ni yale yale walimu wanafunzi wenzangu pia niliosoma nao ni wale wale.
Kiufupi naota ndoto hii imekua ikijirudia Sana na siku zinavyozidi kwenda nazidi Kuota hii ndoto na chaajabu ndoto hii uonesha kua nimerudi shule na wenzangu nimekuta wanaendelea na masomo Kama kawaida huku me nikionekana nilikua mtoro sihudhurii masomo yanayoendelea kwa Sasa katika kipindi icho ambacho Mimi nipo uraiani nimeshamaliza shule.
Nb.
-ndoto zote naota nipo tu sekondari wala sio shule ya msingi ama chuo
-Ndoto nyingi huwa naota nikiwa katika kipindi Cha kutaka kuadhibiwa wa mwalimu au kuhaibishwa mbele ya wanafunzi wenzangu
-kwa mwezi naweza ota mara2 hadi tatu ndoto za aina hiyo ya kurudi shule.
kwa anaejua maana ya ndoto hii wakuu anisaidie tafsri yake Nini na kwanini ijirudie Mara kwa Mara ndoto Aina moja,
inanitesa Sana kiukwel wakuu nakosa Raha naposhtuka usingzini baada ya Kuota ndoto hii na kichwa uwa kizito Sana.
nifanyeje ili niweze ondokana na ndoto hii
Mm pia nlikua naota sana hivo, nikafuatilia majibu yake ni kuwa ntapata shida ya fedha na kweli sasa hivi nimefulia sana na madeni juu, kwa hio na ww jiandae, usitumie ovyo pesa, kuwa makini na vitu unavyonunua na pia usikopeshe watu pesa zako watakutia unyongehabari Wana J forum natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu elimu ya sekondari lakini licha ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimemaliza kidato Cha nne nimekua nikiota ndoto zikionesha kuwa nimerudi shule nasoma pia mazingira ya shule ni yale yale walimu wanafunzi wenzangu pia niliosoma nao ni wale wale.
Kiufupi naota ndoto hii imekua ikijirudia Sana na siku zinavyozidi kwenda nazidi Kuota hii ndoto na chaajabu ndoto hii uonesha kua nimerudi shule na wenzangu nimekuta wanaendelea na masomo Kama kawaida huku me nikionekana nilikua mtoro sihudhurii masomo yanayoendelea kwa Sasa katika kipindi icho ambacho Mimi nipo uraiani nimeshamaliza shule.
Nb.
-ndoto zote naota nipo tu sekondari wala sio shule ya msingi ama chuo
-Ndoto nyingi huwa naota nikiwa katika kipindi Cha kutaka kuadhibiwa wa mwalimu au kuhaibishwa mbele ya wanafunzi wenzangu
-kwa mwezi naweza ota mara2 hadi tatu ndoto za aina hiyo ya kurudi shule.
kwa anaejua maana ya ndoto hii wakuu anisaidie tafsri yake Nini na kwanini ijirudie Mara kwa Mara ndoto Aina moja,
inanitesa Sana kiukwel wakuu nakosa Raha naposhtuka usingzini baada ya Kuota ndoto hii na kichwa uwa kizito Sana.
nifanyeje ili niweze ondokana na ndoto hii
Upo mkoa gani? Ni ugenini au nyumbani?habari Wana J forum natumani mko poa kabisa.

ugenini mkuuUpo mkoa gani? Ni ugenini au nyumbani?
Tigo gani mkuu?? Me kiswahili nina F [emoji849][emoji849][emoji849]sio muda utaliwa tigo
Spirit of setback and delay.habari Wana J forum natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu elimu ya sekondari lakini licha ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimemaliza kidato Cha nne nimekua nikiota ndoto zikionesha kuwa nimerudi shule nasoma pia mazingira ya shule ni yale yale walimu wanafunzi wenzangu pia niliosoma nao ni wale wale.
Kiufupi naota ndoto hii imekua ikijirudia Sana na siku zinavyozidi kwenda nazidi Kuota hii ndoto na chaajabu ndoto hii uonesha kua nimerudi shule na wenzangu nimekuta wanaendelea na masomo Kama kawaida huku me nikionekana nilikua mtoro sihudhurii masomo yanayoendelea kwa Sasa katika kipindi icho ambacho Mimi nipo uraiani nimeshamaliza shule.
Nb.
-ndoto zote naota nipo tu sekondari wala sio shule ya msingi ama chuo
-Ndoto nyingi huwa naota nikiwa katika kipindi Cha kutaka kuadhibiwa wa mwalimu au kuhaibishwa mbele ya wanafunzi wenzangu
-kwa mwezi naweza ota mara2 hadi tatu ndoto za aina hiyo ya kurudi shule.
kwa anaejua maana ya ndoto hii wakuu anisaidie tafsri yake Nini na kwanini ijirudie Mara kwa Mara ndoto Aina moja,
inanitesa Sana kiukwel wakuu nakosa Raha naposhtuka usingzini baada ya Kuota ndoto hii na kichwa uwa kizito Sana.
nifanyeje ili niweze ondokana na ndoto hii
Hii huwa inanitokea sana tu mara nafanya mtihani wa Taifa mpaka muda unakaribia kuisha sijajibu swali lolote, au najikuta naamka late nawaona wenzangu wanatoka kwenye SoMo ambalo na mm nilitakiwa nilifanye muda huo yaan nawewezeka mpaka nashtuka na ukiangalia O level, advance na chuo nimepita vizur tu bila vikwazo japo maisha yangu Bado hayako sawaHapo ukute unaota kesho mtihani wa taifa halafu hujajiandaa hukumbuki topic yoyote.
Ila ndoto hiyo ukiamka unapata afueni, inakukumbusha tu maisha yote ni shule na unatakiwa kujiandaa muda wote.
Kwamba ndoto za namna hiyo ni uchawi?Unarogwa wewe..jipange
Si kweli mwaya,kwasababu si wewe pekee unaeota hivyo,ni wengi nikiwemo na mim mwenyewe,sema tunatofautiana tu matendo tunayokua tunafanya hapo shule.Mim iliku naota primary school ticha wa hesabu anatufundisha std 4 kwa wiki naota mara 5,sku zngne naota nafanya pepa ya 4m4 na mda unakarbia kuisha me bado maswal meng sijajaza, mara ya mwisho niliota nafanya pepa la chuo(tokea hapa sijaota tena nipo shule).Napojaribu simulia watu baadhi Yao huniambia Wenda nachezewa mkuu na Mimi siamini Sana katika Mambo hayo