Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliota sana mpk niliporudii shuleHabari Wana Jamiforums natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu elimu ya sekondari lakini licha ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimemaliza kidato Cha nne nimekua nikiota ndoto zikionesha kuwa nimerudi shule nasoma pia mazingira ya shule ni yale yale walimu wanafunzi wenzangu pia niliosoma nao ni wale wale.
Kiufupi naota ndoto hii imekua ikijirudia Sana na siku zinavyozidi kwenda nazidi Kuota hii ndoto na chaajabu ndoto hii uonesha kua nimerudi shule na wenzangu nimekuta wanaendelea na masomo Kama kawaida huku me nikionekana nilikua mtoro sihudhurii masomo yanayoendelea kwa Sasa katika kipindi icho ambacho Mimi nipo uraiani nimeshamaliza shule.
NB.
- Ndoto zote naota nipo tu sekondari wala sio shule ya msingi ama chuo
- Ndoto nyingi huwa naota nikiwa katika kipindi Cha kutaka kuadhibiwa wa mwalimu au kuhaibishwa mbele ya wanafunzi wenzangu
- Kwa mwezi naweza ota mara2 hadi tatu ndoto za aina hiyo ya kurudi shule.
kwa anaejua maana ya ndoto hii wakuu anisaidie tafsri yake Nini na kwanini ijirudie Mara kwa Mara ndoto Aina moja, inanitesa Sana kiukwel wakuu nakosa Raha naposhtuka usingzini baada ya Kuota ndoto hii na kichwa uwa kizito Sana. Nifanyeje ili niweze ondokana na ndoto hii?
Maana yake wewe hukutakiwa kuwa hivyo ulivyo, something went wrong somewhere.Mimi pia kuna ndoto nimeota zaidi ya mara 20,nakutana na viongozi mbalimbali ndotoni tunaongea then tunaachana,mpk nashangaa wakati mazingira yangu siwezi ktk kukutana nao,naota sana tena viongozi tofauti tofauti,wakuu wa mhimili mkubwa zaidi 3 nimewahi waota pia na baadhi mawaziri.
Ni kweli kabisa.Kak hyo ndoto hiyo imeniteza San na nimekuja kugungua tafsir zake siyo ndoto nnzur hyo ..hyo ndoto inakupa alert kuwa utarudi nyuma sna ktk mambo yako wew so jipange San kuzikabiliana nazo usichukulie POA kirahis mm inafika naota ndoto imefana na yako Ni nwanafuz wa kdg Cha nne na au Cha sita wachuo cjawai kuwaota ila Hawa wa fom 4 n 6 nimewaota San Niko nao darasani
So jipange mnk hyo inakuonesha Kuna maswal yako yatarudi nyuma San hvyo Anza kuonmba na Toba pia huku ukihakiksha unasali sna
Mm ikipita mwezi sijaota wanafuzn wenzangu bas namshukuru mungu San na Mambo yangu yanakah mkao Ila nikiwaota tu lzm siku zinazofta Nile loss au shot hatari .kwa ujumla sipendi ndoto za namna hyo
Nimeelewa na mmMwl Mwakasege amewahi zungumzia ndoto ya namna hii
Shule maana yake ni sehemu ambayo unaenda kwaajili ya kufanya maandalizi ya wakati ujao au kitu kinacjotarajiwa. Mwanafunzi anapoenda darasani maana yake anaenda kujiandaa na ujuzi au taaluma flan kwaajili ya matumizi mbele ya safari yake ya kimaisha.
Sasa unapooneshwa upo darasani maana yake kuna sehemu ulizembea/tegea katika maandalizi ya msimu ujao, hivyo unakumbushwa ujiandae.
Pia unapoona mazingira ni yale yale na wanafunzi ni wale wale maana yake umekwama katika maandilizi flan, ndio maana huoni ukienda hatua ya mbele katika ndoto hiyo ya darasani!
Kama wewe ni mkristo na unaamini katika mafundisho wa Mwl Mwakasege, Tafuta hilo somo la ndoto litakusaidia!!
Unarudishwa nyuma na nguvu za giza kuyafunga mafanikio yao.Mimi hio ndoto huwa naiota mara kwa mara Sana huwa Niko shule na Niko kwenye mitihani huwa inaniumizaga kichwa sana
Watu mnaandika kama stori tu! Ila na mimi mwezi huu, yamenitokea. Mambo yamekua magumu, pesa sina, kazi zinasitishwa tu, yaani hadi sasa nina madeni. Nakumbuka last time nimeota niko shule, ila shule tofauti, pia nilikua nafurahia mazingira.Mm pia nlikua naota sana hivo, nikafuatilia majibu yake ni kuwa ntapata shida ya fedha na kweli sasa hivi nimefulia sana na madeni juu, kwa hio na ww jiandae, usitumie ovyo pesa, kuwa makini na vitu unavyonunua na pia usikopeshe watu pesa zako watakutia unyonge
Unakataje connection na negative power mkuuUnarudishwa nyuma na nguvu za giza kuyafunga mafanikio yao.
Inatakiwa ukate haraka connection na negative power Ili zisivuruge maisha yako
Somo pana kidogo lakini linasimama kwenye imani zaidiUnakataje connection na negative power mkuu
DhahiriMwl Mwakasege amewahi zungumzia ndoto ya namna hii
Shule maana yake ni sehemu ambayo unaenda kwaajili ya kufanya maandalizi ya wakati ujao au kitu kinacjotarajiwa. Mwanafunzi anapoenda darasani maana yake anaenda kujiandaa na ujuzi au taaluma flan kwaajili ya matumizi mbele ya safari yake ya kimaisha.
Sasa unapooneshwa upo darasani maana yake kuna sehemu ulizembea/tegea katika maandalizi ya msimu ujao, hivyo unakumbushwa ujiandae.
Pia unapoona mazingira ni yale yale na wanafunzi ni wale wale maana yake umekwama katika maandilizi flan, ndio maana huoni ukienda hatua ya mbele katika ndoto hiyo ya darasani!
Kama wewe ni mkristo na unaamini katika mafundisho wa Mwl Mwakasege, Tafuta hilo somo la ndoto litakusaidia!!
Siku ingine rudi na simu uwapige picha tuwaone!Habari Wana Jamiforums natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu elimu ya sekondari lakini licha ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimemaliza kidato Cha nne nimekua nikiota ndoto zikionesha kuwa nimerudi shule nasoma pia mazingira ya shule ni yale yale walimu wanafunzi wenzangu pia niliosoma nao ni wale wale.
Kiufupi naota ndoto hii imekua ikijirudia Sana na siku zinavyozidi kwenda nazidi Kuota hii ndoto na chaajabu ndoto hii uonesha kua nimerudi shule na wenzangu nimekuta wanaendelea na masomo Kama kawaida huku me nikionekana nilikua mtoro sihudhurii masomo yanayoendelea kwa Sasa katika kipindi icho ambacho Mimi nipo uraiani nimeshamaliza shule.
NB.
- Ndoto zote naota nipo tu sekondari wala sio shule ya msingi ama chuo
- Ndoto nyingi huwa naota nikiwa katika kipindi Cha kutaka kuadhibiwa wa mwalimu au kuhaibishwa mbele ya wanafunzi wenzangu
- Kwa mwezi naweza ota mara2 hadi tatu ndoto za aina hiyo ya kurudi shule.
kwa anaejua maana ya ndoto hii wakuu anisaidie tafsri yake Nini na kwanini ijirudie Mara kwa Mara ndoto Aina moja, inanitesa Sana kiukwel wakuu nakosa Raha naposhtuka usingzini baada ya Kuota ndoto hii na kichwa uwa kizito Sana. Nifanyeje ili niweze ondokana na ndoto hii?
Naomba nikazie hoja hii kidogo.Mwl Mwakasege amewahi zungumzia ndoto ya namna hii
Shule maana yake ni sehemu ambayo unaenda kwaajili ya kufanya maandalizi ya wakati ujao au kitu kinacjotarajiwa. Mwanafunzi anapoenda darasani maana yake anaenda kujiandaa na ujuzi au taaluma flan kwaajili ya matumizi mbele ya safari yake ya kimaisha.
Sasa unapooneshwa upo darasani maana yake kuna sehemu ulizembea/tegea katika maandalizi ya msimu ujao, hivyo unakumbushwa ujiandae.
Pia unapoona mazingira ni yale yale na wanafunzi ni wale wale maana yake umekwama katika maandilizi flan, ndio maana huoni ukienda hatua ya mbele katika ndoto hiyo ya darasani!
Kama wewe ni mkristo na unaamini katika mafundisho wa Mwl Mwakasege, Tafuta hilo somo la ndoto litakusaidia!!
Na hii ndo tafsiri ya ukweliunaenda kushuka kiuchumi,watu wagiza wameamua kurudisha maisha yako nyuma ili usikumbane na ghasia hii fanya maombi ya kujikomboa wewe na familia yako kiuchumi