Msaada wa tafsiri ya ndoto ya kurudi shule mara kwa mara

Woote nyie humu ndani??? hakuna anaye ota Mbususu wkt mnazo????
 
niliota sana mpk niliporudii shule
 
Maana yake wewe hukutakiwa kuwa hivyo ulivyo, something went wrong somewhere.

Yaani wewe ni ilitakiwa uwe MTU ambaye wakubwa upo nao karibu, wanakutafuta na mnabadilishana mawazo. Umechezea nafasi hiyo vbaya, jitathmini tena, nafasi bado ipo
 
Kukwamishwa kwenye mambo yako na binadamu wenzako...
 
Ni kweli kabisa.
 
Nimeelewa na mm
 
Mimi hio ndoto huwa naiota mara kwa mara Sana huwa Niko shule na Niko kwenye mitihani huwa inaniumizaga kichwa sana
 
Kuota upo shule maana yake ni kuna nguvu au roho zinazokuandamana kukuzuia usiinuke toka hapo ulipo, kwenda juu zaidi.
 
Kuota unafanya mapenzi means unaingiziwa uchawi mwilini mwako, kusex na kuamka asubui umechafuka wachawi wamechukua mbegu zako wanaenda zifanyia uchawi.

Kuota nyoka ni uchawi, nyoka wadogo ni ishara ya mkeo kupata ujauzito.
 
Watu mnaandika kama stori tu! Ila na mimi mwezi huu, yamenitokea. Mambo yamekua magumu, pesa sina, kazi zinasitishwa tu, yaani hadi sasa nina madeni. Nakumbuka last time nimeota niko shule, ila shule tofauti, pia nilikua nafurahia mazingira.
 
Unarudishwa nyuma na nguvu za giza kuyafunga mafanikio yao.
Inatakiwa ukate haraka connection na negative power Ili zisivuruge maisha yako
Unakataje connection na negative power mkuu
 
Dhahiri
 
Siku ingine rudi na simu uwapige picha tuwaone!
 
Naomba nikazie hoja hii kidogo.
Kwa mujibu wa Biblia kwenye kitabu cha Daniel, si mnajimu wala mganga awezaye kutafsiri ndoto. Hivi ndivyo Daniel alivyomuambia mfalme baada ya wanajimu na waganga wake kushindwa kumpa tafsiri ya ndoto yake. Tafsiri sahihi ya ndoto hutoka kwa Mungu kwa njia ya maombi. Hivyo tubu na omba kwa kumaanisha Mungu atakupa tafsiri ya mambo ya sirini(ndoto yako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…