Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

Ulipokuwa mdogo liliishaje na kwa sasa limeanzaje.. Kwa maneno yako ni kama kuna sehemu ya taarifa imeachwa au hujaifikiria lakini ndio majibu yako yalipo
Ilikua inanitokea Ila ikaja ikakata kabisa lkn sasa imejirudia ileile
 
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu,hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa ktk uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara,Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,,MSAADA JAMANI
Fanya maombi kabla ya kulala..

Mimi pia Ni muhanga wa kuteswa na ndoto, Mara kwa Mara huwa naota nafanya mapenzi na nikikurupuka usingizin najikuta kwel nimepiga bao nasipo kwenye umri wa kubarehe nishavuka Nina miaka 24 Sasa...

Kiukweli nateseka mnoo ila nikisali kabla ya kulala sioti hizo ndoto, lakini nikijisahau nikalala bila kusali Basi lazima nitaotaa..

NOTE: Ninae mpenzi wangu jamn sipo single, before hamjaanza kusema nitafute dem
 
Huyo ni jini mahaba, hata wewe chumvi ya mawe inakuhusu.

Usimuache akuzowee utakuwa ukikutana na demu wako huwezi kuperform vizuri na pia atakugombanisha na mpenzi wako ili abaki yeye peke yake
 
Pole mkuu unajua wengi wetu atuamini ndio maana mtu baada kutoa ushauri anakukejeli
 
Huyo ni jini mahaba, hata wewe chumvi ya mawe inakuhusu.

Usimuache akuzowee utakuwa ukikutana na demu wako huwezi kuperform vizuri na pia atakugombanisha na mpenzi wako ili abaki yeye peke yake
Mkuu ili kutembelewa na jini mahaba nifanye nini?
 
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,

Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara, Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,

MSAADA JAMANI
Kwa kifupi ni kwambie hamuna mtu atakwambia tafsiri sahihi ya ndoto au ulichokiota ,wengi watakwambia wanayo ya fikiri na wengi watakupoteza na kukupotosha!
Nakupa mbinu
Kama wewe ni mkristo au muislam hakikisha unapo ota hata kama ni usiku ukiamka hakikisha umesali na umeongea na Mungu wako mwambie wewe hujui tafsiri ya ulichokiota ila yeye anajua hivyo kama kuna kibaya akupushe nacho na kama kuna kizuri kisikupite …kisha lala!

Kila siku utaota na si kila ndoto utakumbuka lakini chamsingi usisahau kusali na kuongea na Mungu wako yeye ndiye anajua tafsiri kuliko sisi wewe deal na Mungu tuu!

Sali ,Sai
 
Mkuu ukiwa unaota ndoto zinajirudia badili style ya kulala. Kama unalala kifudifudi basi nenda opossite au geuka kichwa kiende unapolaza miguu na miguu iende unapolaza kichwa. Halafu acha kushiba sana usiku.
 
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,

Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara, Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,

MSAADA JAMANI
Kwanza badili mtindo wako wa kulala..usipendelee kulala kwa kulalia mgongo na kuinua sura.
Lala kwa ubavu ubavu au nusu ubavu..kama kuna mtu unalala nae pendeleeni kukumbatiana au kugusana.
Vile vile, pendelea kuoga maji yaliyochanganywa na chumvi ya mawe.
Pia,kama unayo mafuto ya Nyonyo uwe unajipaka kwenye nyayo halafu unavaa soksi na kulala.
 
Mimi nilitoa nampelekea moto mke wa mjeda hii maana ake Nini aisee
 
Back
Top Bottom