Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya maombi kabla ya kulala..Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu,hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa ktk uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara,Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,,MSAADA JAMANI
Huyo ni jini mahaba, hata wewe chumvi ya mawe inakuhusu.Fanya maombi kabla ya kulala..
Mimi pia Ni muhanga wa kuteswa na ndoto, Mara kwa Mara huwa naota nafanya mapenzi na nikikurupuka usingizin najikuta kwel nimepiga bao nasipo kwenye umri wa kubarehe nishavuka Nina miaka 24 Sasa...
Kiukweli nateseka mnoo ila nikisali kabla ya kulala sioti hizo ndoto, lakini nikijisahau nikalala bila kusali Basi lazima nitaotaa..
NOTE: Ninae mpenzi wangu jamn sipo single, before hamjaanza kusema nitafute dem
Pole mkuu unajua wengi wetu atuamini ndio maana mtu baada kutoa ushauri anakukejeliFanya maombi kabla ya kulala..
Mimi pia Ni muhanga wa kuteswa na ndoto, Mara kwa Mara huwa naota nafanya mapenzi na nikikurupuka usingizin najikuta kwel nimepiga bao nasipo kwenye umri wa kubarehe nishavuka Nina miaka 24 Sasa...
Kiukweli nateseka mnoo ila nikisali kabla ya kulala sioti hizo ndoto, lakini nikijisahau nikalala bila kusali Basi lazima nitaotaa..
NOTE: Ninae mpenzi wangu jamn sipo single, before hamjaanza kusema nitafute dem
Mkuu ili kutembelewa na jini mahaba nifanye nini?Huyo ni jini mahaba, hata wewe chumvi ya mawe inakuhusu.
Usimuache akuzowee utakuwa ukikutana na demu wako huwezi kuperform vizuri na pia atakugombanisha na mpenzi wako ili abaki yeye peke yake
Usiwe unakutana na wanawake atakuja tu automatically, ni kama ukitaka inzi weka kinyesi, na ukitaka nyuki weka sukari.¹Mkuu ili kutembelewa na jini mahaba nifanye nini?
Kwa kifupi ni kwambie hamuna mtu atakwambia tafsiri sahihi ya ndoto au ulichokiota ,wengi watakwambia wanayo ya fikiri na wengi watakupoteza na kukupotosha!Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara, Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,
MSAADA JAMANI
Kwanza badili mtindo wako wa kulala..usipendelee kulala kwa kulalia mgongo na kuinua sura.Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara, Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,
MSAADA JAMANI
Huna maadui wengi wanaokuandama ila wapo na mpaka sasa ndio wanakwamisha mambo yako ya muhimu .Mkuu unaposema Soo Kali unaamanisha nini
Anapenda sana mtu msafi na anaenukia vizuri marashiMkuu ili kutembelewa na jini mahaba nifanye nini?