Angalia pia historia yako kama ulishawahi kugombana na mwanamke. Kuna wengine wanafunga watu kimazingara, so ufanye na maombi kama umefungwa kimazingara matumizi ya dawa yatagonga ukuta.
Mimi nimesomea sayansi ndoo nakijua kitendo hichi but its up2u guys if u want to believe me o not
mkuyati bro kwa masai
pOLE SANA KAKA ILA UNA SAIKOLOGIA PROBLEM ILA CHEMSHA NYANYA CHUNGU AU NGONGWE ULE KILA SIKU JIONI THEN NIPE MATOKEO NA UKIENDE GEGEDA AMINI WAWEZA KESHO NITAKUJUZA SASA HIVI KUNA KAZI NAFANYA
Fanya mazoezi ya mwili, kimbia road,jiamini hizo ni dawa tosha dogo.
Pole sana kutokana na jinsi ulivyojieleza wewe una shetani Mwanamke ndio anayekusumbuwa kukuharibia Uume wako. Kama huna mtatizo waliochangia wenzangu yaani huna matatizo ya Stress au Saikolojia na umeacha kupiga punyeto na hilo tatizo lako la uume kulala bado lipo basi utakuwa na Matatizo ya Jini Mahaba ona hapa chini Maelezo yake.Habari za mwaka mpya wadau
-Naombeni msaada wenu nina miaka 23 nimekua na tatizo la nguvu zetu kwa muda mrefu sana. Sijawai kusex mpaka sasa.
-Nikiwa na hamu nikifika kwa demu after foreplay hamu inakata kabisa.
-Si-erect 100% enough kwa penetration.
-Punyeto napiga sometimes then na-cumm tu kama kawaida ( naamini punyeto sio chanzo kwani tatizo lilianza hata kabla sijajua punyeto)
-pia naamini sio tatizo la kisaikolojia naamini ni tatizo la "kiufundi" zaidi.
-siamini kama nitafiti kwenye definition ya "hanisi" kwa kua 'nashutuka' japo sio tosha kwa kujamiiana.
Hivyo basi naombeni kwa hali na mali wadau wa jamii hii kubwa kunisaidia sana kwani naamini miongoni mwetu kuna walishapatwa na tatizo kama langu ama kwa jamaa zao .
Nahitaji msaada wenu kwani pamoja na mambo mengine naona umri wa kuoa na kua na familia ushafika ama bado kidogo (inategemea).
Napatikana kwa urahisi sana Dar ama mikoa ya Kaskazini (moshi, arusha, tanga sio mbaya pia) japo haina shida msaada ni popote pale.
Asante wadau na Mungu awabariki sana.
Pole sana kutokana na jinsi ulivyojieleza wewe una shetani Mwanamke ndio anayekusumbuwa kukuharibia Uume wako. Kama huna mtatizo waliochangia wenzangu yaani huna matatizo ya Stress au Saikolojia na umeacha kupiga punyeto na hilo tatizo lako la uume kulala bado lipo basi utakuwa na Matatizo ya Jini Mahaba ona hapa chini Maelezo yake.
DALILI 31 ZA KUONYESHA WEWE UNA JINI MAHABA MWILINI MWAKO.
(1) KUUMWA NA KIZUNGUZUNGU.
(2) TUMBO KUUMA SANA HASA CHINI YA KITOVU.
(3) KUUMWA KICHWA UPANDE.
(4) MOYO KUSHTUKA NA KWENDA MBIO MARA KWA MARA.
(5) MWILI KUSHIKA MOTO.
(6) TUMBO KUUMA SANA KIPINDI CHA HEDHI.
(7) MAUMIVU WA TENDO LA NDOA.
(8) KUPENDA KULIA BILA SABABU NA MWILI KUTINGISHIKA.
(9) KUWA NA HASIRA NA MWLI KUWA MZOTO.
(10) VITU KUTEMBEA MWILINI
(11) MENO YOTE KUUUMA.
(12) KUTOTAMANI NDOA (KUPENDA KUACHA AU KUACHWA).
(13) KUWA JEURI KUPITA KIASI.
(14) MAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.
(15) MOYO KUUMA KAMA UNANYANYASWA.
(16) KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA.
(17) KUOTA UNAYONYESHA, UNAZAA, UNAOLEWA.
(18) KUSIMAMIWA NA MTU UKIGEUKA HUMUONI.
(19) UKIOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA, MIMBA INAHARIBIKA.
(20) KUOTA KUPAA ANGANI AU UPO BAHARINI.
(21) KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA
(22) NDOTO ZA KUTISHA.
(23) KUTOJIPAMBA KWA AJILI YA MUME
(24) MAGOMVI YASIYOISHA NDANI YA NDOA.
(25) KUMCHUKIA MUME AU MKE.
(26) KUTOPENDA KUOA AU KUOLEWA.
(27) KUOTA UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE.
(28) USINGIZI MWINGI.
(29) HEDHI ISIYO NA MPANGILIO.
(30) UJAUZITO USIOONEKANA.
(31) KUTOKUWA NA AMANI MOYONI
Ukiwa na Maswali zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com pia waweza kutembelea Thread yangu hii hapa bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Asante kwa ushauri wako. Nitakutafuta basi

Kula mkuyati br
Pole sana mkuu wala usijali utapona humu jf kuna wataalam wa kila sector na wako makini maamini watakusaidia kua na subra tu
Pole kaka usijali utapata suluhu
Kua na subra tu.......we are on the same boat although am a lady but i know how u feel
Mungu Mkubwa