Pole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.