Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

nabishana na 23yrs jogoo aliwiki
Kijana jikite kwenye shughuli za kimaendeleo kwa mustakabali wako
Naona uko obssessed sana baada ya kukuambia ukweli...huna hela ya kununua S8 tuliza mshindo...
Umri umeenda hela huna, una stress tu.
Pole sana.
 
vp kijana tupe mrejesho nasisi tukutafute hali mbaya.
 
Mkuu hiyo ilikuwa dawa gani... Wenye shida hiyo wengi aisee
 
Mkuu hiyo ilikuwa dawa gani... Wenye shida hiyo wengi aisee
Yani humu utaskia mtu kapona lakin ukimuuliza kapona kwa njia zipi au dawa gani hawasemi utaskia ni pm, weka hapa kila mtu aone atakaejaribu na yeye akipona ataleta mrejesho, tusiwe wachoyo kwenye magonjwa ndomana wa Africa hatuendelei kwasabu ya roho hizo hivi wazungu wangekuwa na roho hizi kama za kwetu huku si tungekufa na magonjwa?manake asilimia99 madawa wamevumbua wao sio madawa tu kila kitu sisi huku wachoyo.tubadilike jaman inawezekana Mungu anawapa wale akili kubwa kwasababu ya hizi roho mbaya.
 
cc ni black kla kitu
 
Tatizo ni dogo sana, tafuna punje 2 za kitunguu swaumu asubuhi ,mchana na jioni kwa muda wa mwezi mmoja.PLease njoo tupe feedback hata baada ya siku 3 ya utumiaji.Garlic si mchezo mkuu.
Atakuja tena aseme zimezidi
 
Habari. Mimi ni mpharmacia. Nakushauri anza kutumia dawa inaitwa erecto 50mg. Itakupa erection na hauta kuangusha kabla kufanya sex.
Hu ugonjwa una sababisha na upunguvu wa damu kupita kwenye ****.
Hiyo dawa nunua tu konye maduka ya pharmacy.

HApana...huu siyo ushauri unaohitajika kwa sasa....unampoteza...atakuwa tegemezi....acha apate tiba kwanza
 
Puli nimeacha ndugu. Nakuaga fiti kisaikolojia ndo mana nimesema ivo
Tafuta mwanamke mmoja wa kufanya nae mapenzi, huenda ukawa unawaogopa wanawake. Huyo mmoja atakusaidia kuwazoea wanawake. Usifanye mapenzi ya nusu saa mmeachana lala nae usiku mzima au kutwa nzima ukiona hisia kurudi unagegeda. Usilazimishe kama huna hisia uonekane kidume utashindwa na ndipo tatizo litaongezeka
 
kuna rafiki yangu uume wake ukisimama haunyooki unajikunja kama ndizi msaada wenu tafadhali.
 
Hiyo dawa inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…