Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

Nenda maduka ya dawa za kisabato/kiarabu waeleze...,wanaweza wakakusaidia. Pia hakikisha mkeo mkeo anakuhamasisha haswa, tena jiamini kisha ongeza na haya;



1.Kunywa fresh water Lita 2 kila siku.
2.zidisha mboga mboga na matunda katika milo yako.
3.karanga mbichi, tende viwe ndio viwe vimumuso vyako.
4.fanya mazoezi mepesi ya kuchangamsha mwili kila siku ila usinyanyue vyuma.
5.kuwa na muda wa kutosha kulala na kupumzika.
Piga gemu kila unapojisikia/usiwe mvivu,akili isiuzuie mwili ukitaka. Kumbuka practice makes perfect.
6.Punguza matumizi ya sukari ya kuongeza,na vinywaji vyenye sukari nyingi.
7.punguza kula nyama nyekundu pendelea nyama nyeupe kwa wingi(kuku&samaki).

Kuwa mcha Mungu, muombe Mungu akuondoshee
 
dah MUNGU ATUSAIDIE TUPO WENG AISEEEE, akyanani ntakufa kwa mawazo
 
Hatari sana kwa janga hili, linapunguza hadi uwezo wa kufikiria/ mda wote unakuwa na stress tuuhhh
 
Acha utani mkuu kwa hiyo unaishi kwa mganga?
 
Ndio utaje na bei watu wajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…