Jinsi ulivyo eleza ndo mimi hapa kabisa, ila kidogo mimi nimekuzidi umri kidogo i have 25yrs old.
Pia ni miongoni Katika sekta za afya, nimepima nikapewa maijbu, sperm zangu zima kabisa yani zina kichwa , mwili wake , na mkia bisa, ila sasa huwa zina shindwa kumove yani yale maji yanakuwa yanakuwa machache au ni seme unatoka mzito sanaa kana kwamba zinakuwa hazielei vizuri, na kushindwa kutembea kuelekea mbele kutafuta mayai yalipo endapo nitafanya mapenzi na mwanamke, kiujumla sina uwezo wa kuzalisha.
Sikuchukua hatua za kutumia dawa yeyote ile iwe ya kisasa wala kienyeji, nilikaa nikafikiria what is problem? Nikamtafuta doctka akanishauri;
Niache punyeto
Niache kula chipsi
Nifanye zoezi,
Lakini chipsi niliacha tangu 2013, mazoezi hadi six park ninazo, nina mwili wa kiume yani mda wote misuli imetokezea iwe baridi iwe joto, nasema hivi kwa sababu ukiona una upungufu wa nguvu za kiume maana yake damu haizunguki haraka, kazi ya damu katika penis ni kuruhusu damu kusimamisha mishipa ya penisi na damu kubaki kwenye mishipa ya penis na kujifunga ili kuruhu sperm kupita vizuri wakati wa tendo la ndoa, endapo utakuwa na saikolojia problem bas mzunguko wa damu unakuwa hafifu sana katika sekta hyo ya penzi shughuli.
Naludi kwenye point baada ya kupewa ushauri na dactari kuwa nistumie dawa yeyote ile ila nijikite kwenye mazoezi, lakini nikajirudisha mbona mazoezi nafanya sana , na chipsi niliokoka kabisaaa, nikatafakari kwa kina niakaamini dini za Waganga/kienyeji/ kupiga lamli, jibu nililo pewa kuwa nilifungwa tangu mdogo, lakini nikikumbuka tangu udogo hili tatizo nilikuwa nalo, nilivyo ona hvi nikawa sijiamini kabisa mda nafanya ngono lakini kamoja tuhhh nipo chali na hata dakika haifiki nisha pizi, hapo ndo mawazo yakawa yanaongezeka sasa kichwani.
Pia kilicho nisukuma kupiga hodi kwa lamli ilikuwa nilikuwa naumwa kifua nimezunguka hospitali kadha, kunywa kila dawa za hospital lakin wapiiiii, ndo na hayo yakagundulika huko.
Lakini pamoja na kupizi ndani ya dakika moja, hapo sasa nitakaa kama dakika 30 hvi itasimama tena hapo ikisimama itasimama masaa mawili kabisa, alafu kwa nguvu lakini sperm hazitoki kabisa, hapo sasa hata nikiendeleza germ hakuna cha raha wala nini.
Sasa hvi nipo usukumani kwenye dozi, wamesema niondoe hofu nimelogwa,
Ndo nasubilia nguvu ya msukuma kwa lamli, lakini kifua nishapona kabisa.