Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza kakaUmemaliza swali? au unaendelea kuliunda?
Ndio final year project , computer scienceTitle ya nini? Research au nini?
Kwa kuwa maelezo uliyotoa hayajitoshelezi.nilizofikiria zote instructor amezikataaa
In short instructor anataka za web based , achana na na artifial intelligent na nyinginezo , nilizopeleka tatu na amezikataa ni hizi hapa👇Kwa kuwa maelezo uliyotoa hayajitoshelezi.
- Basi ni vyema ukaanza kwa kuorodhesha zote ambazo zimekataliwa, ili wadau wasirudie title ambazo tayari zimekaataliwa. Na hii pia iasaidia kuweza kupata mwanga zaidi ya nini kinahitaji
- Kuna idea tano hapa, ila itategemea wewe umejieleza vip, ili nikupatie.
Nipe nitakazaa budaKwa kuwa maelezo uliyotoa hayajitoshelezi.
- Basi ni vyema ukaanza kwa kuorodhesha zote ambazo zimekataliwa, ili wadau wasirudie title ambazo tayari zimekaataliwa. Na hii pia iasaidia kuweza kupata mwanga zaidi ya nini kinahitaji
- Kuna idea tano hapa, ila itategemea wewe umejieleza vip, ili nikupatie.
Tumia chatgptWadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
Hazitaki kwanini, Hizo mbili za kwanza si unaweza kufanya web based?In short instructor anataka za web based , achana na na artifial intelligent na nyinginezo , nilizopeleka tatu na amezikataa ni hizi hapa👇
1. Found and lost item online ( idea ilikuwa ku coordinate aliepoteza na alieokota kitu online kwa maeneo ya chuo case study)
2. Gym management system ( idea ilikuwa inataka kutoa soluhisho kuhisiana na diet na kumanage mazoezi na activities zingine zilizopo gyme kwa njia ya online)
3. Smart glass for kwa kipofu ( hii ilikuwa inaenda kutatua matatizo ya blinder wanapokutana na obstacle kama vile anapotakata kucross road, tutaweka sensor hii ilikuwa intilligence based) . Nipe nondo boss hizo zote instructor hazitaki😄
Kufanyaje?Tumia chatgpt
No ,, hakuna masharti mengine.Hazitaki kwanini, Hizo mbili za kwanza si unaweza kufanya web based?
Haujapewa mashari yoyote mengine? Angalia requirements unazopewa kidha unda project inayogusa hivyo vitu.
Nini sababu ya kukataa sasa?No ,, hakuna masharti mengine.
Tupe requirements zinazotakiwa tuunde tittle zetu upeleke tumskie atasemaje nazoNo ,, hakuna masharti mengine.
Ziwe tu za web based mkaliTupe requirements zinazotakiwa tuunde tittle zetu upeleke tumskie atasemaje nazo
Alikusaidia vipi kaka ?Kipindi nafanya project nlikutana na hii changamoto walikua madokta walikua wamepeana vitengo ukitaja tu tittle aliepewa Database atakuuliza maswali yake, wa IT security atakuuliza maswali yake na wengine wengi....kupitisha title ikawa ngumu mwisho wa siku supervisor akanisaidia
mara nyingi malecturer wanataka ile wow factorHazitaki kwanini, Hizo mbili za kwanza si unaweza kufanya web based?
Haujapewa mashari yoyote mengine? Angalia requirements unazopewa kidha unda project inayogusa hivyo vitu.