Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

nilizofikiria zote instructor amezikataaa
Kwa kuwa maelezo uliyotoa hayajitoshelezi.
  • Basi ni vyema ukaanza kwa kuorodhesha zote ambazo zimekataliwa, ili wadau wasirudie title ambazo tayari zimekaataliwa. Na hii pia iasaidia kuweza kupata mwanga zaidi ya nini kinahitaji
  • Kuna idea tano hapa, ila itategemea wewe umejieleza vip, ili nikupatie.
 
In short instructor anataka za web based , achana na na artifial intelligent na nyinginezo , nilizopeleka tatu na amezikataa ni hizi hapa👇
1. Found and lost item online ( idea ilikuwa ku coordinate aliepoteza na alieokota kitu online kwa maeneo ya chuo case study)
2. Gym management system ( idea ilikuwa inataka kutoa soluhisho kuhisiana na diet na kumanage mazoezi na activities zingine zilizopo gyme kwa njia ya online)
3. Smart glass for kwa kipofu ( hii ilikuwa inaenda kutatua matatizo ya blinder wanapokutana na obstacle kama vile anapotakata kucross road, tutaweka sensor hii ilikuwa intilligence based) . Nipe nondo boss hizo zote instructor hazitaki😄
 
Nipe nitakazaa buda
 
Hazitaki kwanini, Hizo mbili za kwanza si unaweza kufanya web based?

Haujapewa mashari yoyote mengine? Angalia requirements unazopewa kidha unda project inayogusa hivyo vitu.
 
No ,, hakuna masharti mengine.
 
Instructor wako anaendesha gari gani mkuu? Mpe coupon au vocha ya mafuta Petro au diesel Lita kumi iwe imeandikwa namba yake ya gari na station atakayochukua mafuta iwe standard na njia anayopita. Halafu mpeleke title yoyote uone kama atakataa!
 
Kipindi nafanya project nlikutana na hii changamoto walikua madokta walikua wamepeana vitengo ukitaja tu tittle aliepewa Database atakuuliza maswali yake, wa IT security atakuuliza maswali yake na wengine wengi....kupitisha title ikawa ngumu mwisho wa siku supervisor akanisaidia
 
Alikusaidia vipi kaka ?
 
Swahili proficiency test.

Mtihani wa kupima kiwango cha lugha.

Angalia sehemu kama duolingo upate idea.
 
Hazitaki kwanini, Hizo mbili za kwanza si unaweza kufanya web based?

Haujapewa mashari yoyote mengine? Angalia requirements unazopewa kidha unda project inayogusa hivyo vitu.
mara nyingi malecturer wanataka ile wow factor

wanataka wasikie kitu flani cha ajabu ajabu kinachoshangaza

hizo management system na lost and found zinafanywa sana.
 
Back
Top Bottom