jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Natarajia kwenda njombe wana ndugu
Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri utumie ABC kwakuwaNatarajia kwenda njombe wana ndugu
Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
🤣🤣🤣🤣Ngoja waje kukupa muongozo.
Ila jipange sana kipindi hichi ni cha baridi kali huko njombe.
Jiandae kwa mashweta na makoti mazito.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Xo mpaka niende mbezi stendi ya JPM orNjombe express . Ipo powa sana
PigaXo mpaka niende mbezi stendi ya JPM or
Ndugu we unafanya kazi ABC .... sorry lakini nimeuliza tu .... zina Paki stendi ya JPM orNakushauri utumie ABC kwakuwa
Ukishindwa kabisa panda Galaxy japo haifanyi kazi siku ya Jumamosi.
- Mwendo wa madereva wao ni wa kiustaarabu
- Hawana kelele za muziki kama mabasi mengine ni kama uko bar
- Mabasi ni masafi
- Lugha ya wahudumu ni ya upole na unyenyekevu
- Wasikivu ikiwa una dharura ya tumbo
Angalizo:
Usije ukarogwa ukapanda mabasi mengine siku ya kurudi, kuna vidumu vya ulanzi huwa vinawekwa kwenye carrier za ndani vikifika mikumi joto limechanganya vinafumuka
Asante sanaPiga
0716 025646
0763589839
Nimekoma, wanafungulia muziki kwa sauti ya juu kupita kiasi, huwezi kusikilizana na jirani yako wala kuongea na simuNjombe express . Ipo powa sana
Zipo tena ni classicABC UPPER CLASS zinaenda mikoa ya nyanda za juu? mi najua ni DODOMA na SINGIDA tu
Ofisi za ABC zipo wapi kwa hapa darMkuu nipo Njombe nimekuja from Dar.
Panda ABC ukikosa kabisa Super Feo.
Aisee uje na koti kubwa baridi noma. Hafu huku makoti bei knm bila 20 koti la kifala fala tu haupati.
Jipange sana kule hakufai kwa baridi hasa kipindi hiki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa na penda sana the way unavyo maliziaga kwa hiyo hashtag yako mkuu [emoji119][emoji119]
Hapo kwenye baridi ndo patamu kwani hich nikipindi cha baridi sana kule ......tena nahisi ntafika hadi makete
Piga hiyo namba ya tigo ni ABC Dar hiyo nyingine Vodacom ni Galaxy DarOfisi za ABC zipo wapi kwa hapa dar
Nina koti moja tu basJipange sana kule hakufai kwa baridi hasa kipindi hiki.
La sivyo utakua hutoki ndani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkuru bossPiga hiyo namba ya tigo ni ABC Dar hiyo nyingine Vodacom ni Galaxy Dar
Umenichekesha sana hapo kwenye ulanzi [emoji23][emoji23][emoji23]Nakushauri utumie ABC kwakuwa