Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

Enzi zangu ilikuwa bila Lupelo au Makete siendi Njombe....manishoo walipanda Grazier Venerare kwa wapendanao

Kacheck Njombe express au Luwinzo au Super Feo zinazoenda Songea
 
Ndugu! ABC hutajuta aisee. Jamaa ameamua kuwekeza kwenye biashara. Ni kama Scandinavia enzi hizo.
1. Unaweza kusafiri safari nzima bila kufunga mkanda huku umechapa usingizi.
2. Vituo vya mapumziko vinaeleweka. Si kama kampuni fulani, tulipelekwa mbele ya stendi ya Msamvu kwa mapumziko.
3. Ila kama una haraka zako usipande, utakasirika. Hawana haraka njiani.
 
Sasa kutoka dar mpaka njombe mpaka upande basi...hivi wanaume wa dar mpoje lakini...hapo si unachapa mwendo kwa mguu tu
 
Back
Top Bottom