Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

Ofisi za ABC zipo Manzese pale kituoni Ukiwa unaenda Posta ipo kulia.

Nenda maana Bus linaloenda Njombe moja kwahiyo kakate mapema watu wengi wanalitumia.

Kuhusu koti uwe serious. Njoo na koti kubwa mzee baba.

Sehemu ya kulala? Lodge/Hotel nzuri zinaanzia elfu 30.

Mzee baba kuna baridi knm mfano mchana huu ngoma inasoma 13 Degrees of celsius.
 
Xo mpaka niende mbezi stendi ya JPM or
Wana anzia shekilango. Ihi nyuma ya masaha sana wazee wa kufuta magepu climber ya umeme alafu ndani nzuri sana
20220602_143752.jpg
20220602_143717.jpg
 
Nimekoma, wanafungulia muziki kwa sauti ya juu kupita kiasi, huwezi kusikilizana na jirani yako wala kuongea na simu
[emoji23][emoji23] Mambo ya vijana ayo bila mziki safari ainogi
 
Baridi kali sana. Nimetoka wiki jana.
Baridi imenitenda hasa. Nilikua Makambako.
Kule sio poa!
 
Jiandae kwa baridi kali nyuzi joto 16.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa na penda sana the way unavyo maliziaga kwa hiyo hashtag yako mkuu [emoji119][emoji119]

Hapo kwenye baridi ndo patamu kwani hich nikipindi cha baridi sana kule ......tena nahisi ntafika hadi makete
Kama una tatizo la kifua nakushauri usikanyage Makete,ishia Njombe Mjini tuu
 
Ivi hakuna Mwendamseke trans za Dar njombe? Zile zenye injini nyuma
 
Usisahau kwenda na mke kama unae ili kuepuka ushawishi usio na lazima
 
Nakushauri utumie ABC kwakuwa
  1. Mwendo wa madereva wao ni wa kiustaarabu
  2. Hawana kelele za muziki kama mabasi mengine ni kama uko bar
  3. Mabasi ni masafi
  4. Lugha ya wahudumu ni ya upole na unyenyekevu
  5. Wasikivu ikiwa una dharura ya tumbo
Ukishindwa kabisa panda Galaxy japo haifanyi kazi siku ya Jumamosi.

Angalizo:
Usije ukarogwa ukapanda mabasi mengine siku ya kurudi, kuna vidumu vya ulanzi huwa vinawekwa kwenye carrier za ndani vikifika mikumi joto limechanganya vinafumuka
Vipi hizo lugha nzuri mtu anaweza kula tunda kimasihara
 
Back
Top Bottom