Yes mkuu, tangu mwaka jana ABC walianza route za Nyanda za juu kusiniABC UPPER CLASS zinaenda mikoa ya nyanda za juu? mi najua ni DODOMA na SINGIDA tu
Kaka hao jamaa walisha Advance waliongeza routes za nyanda za juu kusini pia (Dar-Njombe)ABC UPPER CLASS zinaenda mikoa ya nyanda za juu? mi najua ni DODOMA na SINGIDA tu
Mkuu ni kweli siyo uongo waulize Galaxy watakuambia nini kiliwakutaUmenichekesha sana hapo kwenye ulanzi [emoji23][emoji23][emoji23]
They are the future trusted heros of the routeKaka hao jamaa walisha Advance waliongeza routes za nyanda za juu kusini pia (Dar-Njombe)
Wana anzia shekilango. Ihi nyuma ya masaha sana wazee wa kufuta magepu climber ya umeme alafu ndani nzuri sanaXo mpaka niende mbezi stendi ya JPM or
[emoji23][emoji23] Mambo ya vijana ayo bila mziki safari ainogiNimekoma, wanafungulia muziki kwa sauti ya juu kupita kiasi, huwezi kusikilizana na jirani yako wala kuongea na simu
Ihi chuma inatembea sana Sema saizi ana basi jipya. Luwinzo express "mbele mbele yao " msemo wa davoo uo.Njombe express, luwinzo, sweet Africa, kidinilo n.k
Wakajifunze ABC[emoji23][emoji23] Mambo ya vijana ayo bila mziki safari ainogi
Kama una tatizo la kifua nakushauri usikanyage Makete,ishia Njombe Mjini tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa na penda sana the way unavyo maliziaga kwa hiyo hashtag yako mkuu [emoji119][emoji119]
Hapo kwenye baridi ndo patamu kwani hich nikipindi cha baridi sana kule ......tena nahisi ntafika hadi makete
Natarajia kwenda njombe wana ndugu
Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
11 mzee baba.Jiandae kwa baridi kali nyuzi joto 16.
Vipi hizo lugha nzuri mtu anaweza kula tunda kimasiharaNakushauri utumie ABC kwakuwa
Ukishindwa kabisa panda Galaxy japo haifanyi kazi siku ya Jumamosi.
- Mwendo wa madereva wao ni wa kiustaarabu
- Hawana kelele za muziki kama mabasi mengine ni kama uko bar
- Mabasi ni masafi
- Lugha ya wahudumu ni ya upole na unyenyekevu
- Wasikivu ikiwa una dharura ya tumbo
Angalizo:
Usije ukarogwa ukapanda mabasi mengine siku ya kurudi, kuna vidumu vya ulanzi huwa vinawekwa kwenye carrier za ndani vikifika mikumi joto limechanganya vinafumuka
Hii inaanzia MbagalaIhi chuma inatembea sana Sema saizi ana basi jipya. Luwinzo express "mbele mbele yao " msemo wa davoo uo.View attachment 2248113