Ndugu! ABC hutajuta aisee. Jamaa ameamua kuwekeza kwenye biashara. Ni kama Scandinavia enzi hizo.
1. Unaweza kusafiri safari nzima bila kufunga mkanda huku umechapa usingizi.
2. Vituo vya mapumziko vinaeleweka. Si kama kampuni fulani, tulipelekwa mbele ya stendi ya Msamvu kwa mapumziko.
3. Ila kama una haraka zako usipande, utakasirika. Hawana haraka njiani.