simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
Ni kawaida my dear labda tu iwe hujawahi kumdaka ila cheating haina cha stage, haina cha siku gani. Any day any time....Lkn eve kwa uchumba mbona ni hali ya hatari? bora ingekua ndoa
ha ha ha ushaaga mpambano.Mi ndoa zilishanishinda acha nijidangie tu
Mi nina hasira za kikulya ninaweza kumkata mtu pumbu nikaozea segerea....ha ha ha ushaaga mpambano.
Kipozeo nae akasema mwanamke mmoja mama tu!Mwambie huyo dada, kama anadhani anaweza kuwa na mwanaume wa peke ake amuumbe yeye. Mwanaume mmoja ni baba tu....
Shithole1. Mtajie idadi ya wanawake duniani hususani kwa sensa ya 2017 compared to idadi ya wanaume.
2. Ajiasses kwanza mapungufu yake ambayo yanamfanya huyo mwananume awe hivyo kabla hajafanya maamuzi ya kijinga.
3. Ajaribu kujishusha na kuomba msamaha kwa jamaa endapo kuna kitu alikosea na hakukijua.
4. Ana haki ya kusitisha hiyo process endapo tu ni mcha MUNGU, kama ni wale wa tia maji tia maji hajijui hata uhusiano wake na MUNGU ukoje basi mwambie akomae tu na jamaa mpaka kieleweke. Mtu anayemjua MUNGU kwa undani hawezi kuwa hadi hapo hajui afanyeje na wala hawezi kufika kwenye hiyo situation.
Swali zuri sana binti salt.Hata siku yao ya kufunga ndoa akiwa saloon mume anaweza kuwa anagegeda mwingine, mwambie hayo ya kawaida.
Btw huyo bi harusi to be sio wewe mpenzi!!!???
asipokuelewa bas,1. Mtajie idadi ya wanawake duniani hususani kwa sensa ya 2017 compared to idadi ya wanaume.
2. Ajiasses kwanza mapungufu yake ambayo yanamfanya huyo mwananume awe hivyo kabla hajafanya maamuzi ya kijinga.
3. Ajaribu kujishusha na kuomba msamaha kwa jamaa endapo kuna kitu alikosea na hakukijua.
4. Ana haki ya kusitisha hiyo process endapo tu ni mcha MUNGU, kama ni wale wa tia maji tia maji hajijui hata uhusiano wake na MUNGU ukoje basi mwambie akomae tu na jamaa mpaka kieleweke. Mtu anayemjua MUNGU kwa undani hawezi kuwa hadi hapo hajui afanyeje na wala hawezi kufika kwenye hiyo situation.
Maturity at its bestMwambie huyo dada, kama anadhani anaweza kuwa na mwanaume wa peke ake amuumbe yeye. Mwanaume mmoja ni baba tu....
Nani sasa Mimi auWe Nawe Umamgegeda Nin?