Msaada wa ushauri: Je, asitishe kwanza upande wa mwanaume kumtolea mahari?

Msaada wa ushauri: Je, asitishe kwanza upande wa mwanaume kumtolea mahari?

wana utoto bado
hawajajua maana ya ndoa bado
so waambie waendelee kula ujana kwanza au wajifunze uvumilivu na kufwatiliana waache
 
nakumbuka kabla sijaoa, nilikanywa sana juu ya kushika shika simu za mwenza..nilvooa , mwaka wa kwanza ulikua mgumu, maana hakukukauka vita ndani juu ya kuhisiana na mambo ya simu..ila tulivyojifunza kutofwatiliana simu maisha yalikua poa sana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Unapoona mwanaume amefikia hatua ya kukutolea mahari ujue kakuwazia mema.
Na akili inayotumika hapo huwa ni ya sayari ya Jupiter.

Hivi unajua kaacha wangapi hadi unatolewa wewe mahari?

Siku hizi wenzako mahari na ndoa inawakuta mbele kwa mbele, ilimradi me aridhie kuishi pamoja tu.
 
1. Mtajie idadi ya wanawake duniani hususani kwa sensa ya 2017 compared to idadi ya wanaume.

2. Ajiasses kwanza mapungufu yake ambayo yanamfanya huyo mwananume awe hivyo kabla hajafanya maamuzi ya kijinga.

3. Ajaribu kujishusha na kuomba msamaha kwa jamaa endapo kuna kitu alikosea na hakukijua.

4. Ana haki ya kusitisha hiyo process endapo tu ni mcha MUNGU, kama ni wale wa tia maji tia maji hajijui hata uhusiano wake na MUNGU ukoje basi mwambie akomae tu na jamaa mpaka kieleweke. Mtu anayemjua MUNGU kwa undani hawezi kuwa hadi hapo hajui afanyeje na wala hawezi kufika kwenye hiyo situation.
Shithole
 
wanaume akili ziko kichwani lakini seva ipo kwenye kende.

wanaume kugegeda no kawaida
 
Mwambie wanaume ndivyo walivyo, labda akiolewa ajitahidi kumbadilisha
 
Huyo dada naye ni mjinga sana hajui kuwa wanawake ni wengi na hapo ni kwamba kuna mashindano na yeye ndie anaelekea kushinda kwa kuolewa wenzake wakabaki kuwa michepuko. Kwa kukataa process za mahari ina maana anawapa ushindi wenzake ambao tayari walikuwa wameshashindwa. Kwa uzoefu wangu mwanaume akifikia kipindi cha kuoa kunakuwa na mademu lukuki wanamnyemelea sasa mmoja akileta uzembe tu kijiti kinamwangukia mwingine.
 
Hata siku yao ya kufunga ndoa akiwa saloon mume anaweza kuwa anagegeda mwingine, mwambie hayo ya kawaida.
Btw huyo bi harusi to be sio wewe mpenzi!!!???
Swali zuri sana binti salt.
 
1. Mtajie idadi ya wanawake duniani hususani kwa sensa ya 2017 compared to idadi ya wanaume.

2. Ajiasses kwanza mapungufu yake ambayo yanamfanya huyo mwananume awe hivyo kabla hajafanya maamuzi ya kijinga.

3. Ajaribu kujishusha na kuomba msamaha kwa jamaa endapo kuna kitu alikosea na hakukijua.

4. Ana haki ya kusitisha hiyo process endapo tu ni mcha MUNGU, kama ni wale wa tia maji tia maji hajijui hata uhusiano wake na MUNGU ukoje basi mwambie akomae tu na jamaa mpaka kieleweke. Mtu anayemjua MUNGU kwa undani hawezi kuwa hadi hapo hajui afanyeje na wala hawezi kufika kwenye hiyo situation.
asipokuelewa bas,
 
Back
Top Bottom